×

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Feb 4, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 4, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mchengerwa Aahidi Kukutana Na Wadau Wa Sanaa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mohamed Mchengerwa amesema anatarajia kukutana na wasanii wa makundi yote katika kipindi kifupi kijacho...

READ MORE

Nyie Mai Zumo Anatisha Mjue

MAMA wa mtoto komediani Mai Zumo, Habiba Zumo anasema ni faraja na hatua nzuri kwa mzazi kuona mafaniko ya kipaji...

READ MORE

Kimbunga Ana Chaua Zimbabwe

Watu kumi wamefariki dunia nchini Zimbabwe baada ya kusombwa na maji walipokuwa wakijaribu kuvuka mto uliokuwa umejaa karibu na mpaka...

READ MORE

Chico Aandaliwa kwa Kazi Maalum Yanga

PAMOJA na mashabiki wa Yanga kuendelea kuwa na shauku ya kutaka kumuona winga wao mpya raia wa DR Congo, Chico...

READ MORE

Hamisa Amrejesha Rick Ross Kwenye Himaya Yake

BAADA ya ukimya huku akidaiwa kupigwa teke au kibuti na Rapa wa Marekani, Rick Ross, hatimaye mwanamitindo na msanii wa...

READ MORE

Kitabu cha Rais Weah Chazua Balaa, Asifia Uwezo wa Mkewe Chumbani

MAKUNDI ya wanawake nchini Liberia yameghadhabishwa na sehemu ya chapisho katika kitabu cha wasifu wa Rais wa nchi hiyo George...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuiba Biblia Mbili

Mwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu...

READ MORE

Ligi ya Tanzania Yaingia Top 10 Afrika

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza orodha ya Ligi Bora duniani kwa mwaka...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa IFC, Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 3, 2021 amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji...

READ MORE

Aliyeua kwa Kisu Vingunguti Akiri Kosa, Aachiwa Mahakamani

Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemwachia huru mfanyabiashara Steven Aloyce mkazi wa Vingunguti kwa masharti ya kutotenda...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea Kimaajabu Apatikana, Hakumbuki Chochote

IDRISSA Mkenge (16), mkazi wa Magomeni, mkoani Dar es Salaam, ambaye alikuwa anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoripoti shuleni...

READ MORE

Mvuvi Apambana na Mamba Kuokoa Nyavu Zake

MTU mmoja amepigana vita vikali dhidi ya mamba katika harakati za kuokoa wavu wake wa kuvulia samaki nchini Msumbiji.  ...

READ MORE

Kiba Awalaza Watu na Viatu

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anadaiwa kuwalaza na viatu mahasimu wa kimuziki baada ya kufanya maajabu makubwa. Achana na...

READ MORE

Pablo Aanza na Kagere, Mugalu

SHAUKU ya kupata mabao ya Kocha Mkuu wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco, imemfanya aanze kuitengeneza safu ya ushambuliaji...

READ MORE

Onyango, Morrison Wekwa Sokoni Simba

MAMBO ni magumu kwa sasa ndani ya Simba kutokana na mwendo wa kusuasua hasa kwenye matokeo waliyopata kwenye mechi tatu...

READ MORE

Makonda Kusakwa

MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Prisons Wapo Tayari Kuwakabili Simba

LIGI Kuu ya NBC Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea jioni ya leo Alhamasi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...

READ MORE

Best 20 Mastaa Waliokomba Mirahaba ya Nguvu COSOTA

SERIKALI ya Tanzania kupitia Chama cha Haki Miliki (COSOTA) imeanza zoezi la ugawaji wa mirabaha kama alivyoagiza Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mwijaku: Sasa Hivi Msinifananishe na Baba Levo

MTANGAZAJI, mwigizaji na Mhamasishaji wa Klabu ya Simba, Mwijaku anasema kuwa, baada ya kutajwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE