×

Shatta Wale Akoleza Bifu Lake na Burnaboy

Msanii wa Ghana Shatta Wale ameendeleza vita yake ya maneno dhidi ya Burnaboy kutoka Nigeria kwa kusema matajiri hawajionyeshi ila...

READ MORE

Wanafunzi Laki 9 Kuandikishwa Kidato cha Kwanza

WANAFUNZI 907,803 wanatarajiwa kujiunga na elimu ya kidato cha kwanza mwaka huu. Akitoa takwimu hizo leo Januari 6 ,2022 Waziri...

READ MORE

Akamatwa na Jino la Tembo Katavi

JESHI la Polisi Mkoani Katavi, linamshikilia Jilangu Seni (33) mkazi wa kijiji cha Misisi, kwa tuhuma za kukutwa na kipande...

READ MORE

Wasioandikisha Watoto Kufikishwa Mahakamani, Walioacha kwa Mimba Warudi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewataka wazazi wote ambao...

READ MORE

Man United Hawamtaki Cristiano Ronaldo

MAMBO sio mazuri ndani ya Manchester United, huku ikielezwa kuwa staa wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo awekwekando kwani anagawa timu...

READ MORE

Mwanafunzi wa Sekondari Avae Hata Sare ya Shule ya Msingi

Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu, ameendelea kusisitiza kwamba wakuu wa shule kutoweka vikwazo kwa wanafunzi wataokuwa hawana sare za shule...

READ MORE

Nafasi za Kazi UTUMISHI: TAFICO, DUCE, ATC, MZINGA na CBE

The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate...

READ MORE

Mbunge Asimamishwa kwa Kugawa Pipi Bungeni

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya amesimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa siku moja kwa kosa la kusambaza pipi kwa wabunge...

READ MORE

Rasmi! Nkane Apewa Mikoba ya Ngasa Yanga

Winga kinda Denis Nkane ameanza vizuri maisha yake ndani ya kikosi cha timu ya Wananchi Yanga SC baada ya hapo...

READ MORE

DStv Yafungua Mwaka Na Panda Tukupandishe!

Mwaka 2022 unaanza na habari njema kwa wateja wa DStv! Kuanzia Januari 5, 2022, DStv itaanza promosheni yake kabambe ijulikanayo...

READ MORE

 Blackberry Kuondolewa Sokoni

Kwa wale watumiaji wa simu za BlackBerry kuanzia sasa kamwe hawataweza kufanya matumizi ya kupiga simu, kutuma ujumbe ama kujiunga...

READ MORE

Burna Boy Anunua Ndinga ya Kifahari ya Bil 1.3

Mshindi wa Tuzo ya Grammy na mwanamuziki mahiri kutoka nchini Nigeria Damini Ebunoluwa Ogulu, maarufu Burna Boy, amejipatia zawadi ya...

READ MORE

Mke Adaiwa Kumua Mume kwa Mafuta ya Petroli

Diwani wa Kata ya Kiomboi, Omary Hassan na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kinambeu, Godfrey Yohana wasimulia mkasa wa...

READ MORE

Chanzo ni Saa, Mwalimu Ampa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 15

WAZAZI na wa mwanafunzi wa kike (15) aliyekuwa anasoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kolero wilayani Morogoro (jina...

READ MORE

Kifo cha Kanali Mamadou Ndala Chamuibua Hayati Magufuli Kongo

Ni miaka nane sasa imepita tangu kifo cha Kanali Mamadou Mustafa Ndala, kiongozi wa kijeshi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Wiki Moja Baada ya Kujiuzulu, Mkwasa Arejea Tena Ruvu Shooting

KLABU ya Ruvu Shooting imethibitisha kurejea kwa Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa aliyekua ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo tangu juma lililopita....

READ MORE

Video: Yanga Yatumia Mamilioni Kuwanasa Mastaa, Phiri Afunguka, Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Pablo Aukubali Mziki wa Shiboub

TAYARI uongozi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’umefikia makubaliano ya kuachana na beki...

READ MORE

Simba, Yanga Zagawa Dozi Mapinduzi

SIMBA SC na Yanga SC, zimeanza michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kugawa dozi ya mabao 2-0kila moja. Katika mchezo...

READ MORE

🔴#LIVE: Siku Za Uspika Wa Ndugai Zahesabika, Wabunge Kuwasilisha Hoja Ya Kumng’oa | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE