×

Kikosi cha Simba Kimetamba Kushiriki Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho

UONGOZI wa kikosi cha Simba, umetamba kuwa walikuwa tayari wamejiandaa kukutana na mpinzani yeyote kwenye Robo Fainali ya Kombe la...

READ MORE

Nandy: Nitakufa Lakini Lazima Niwasadie Wasichana Wanaopitia Changamoyo

Faustina Charles Mfinanga almaarufu Nandy; ni malkia wa muziki Afrika Mashariki ambaye anasema kuwa, umaarufu wake hauwezi kuwa na maana...

READ MORE

Banda Achafua Hali ya Hewa, Awatahadharisha Orlando Juu ya Mbinu Chafu za Simba

BEKI wa kati wa Klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani Abdi Banda ameingia katika sekeseke zito kwenye mitandao ya...

READ MORE

Video: Soko la Mchikichini Karume Lateketea, Wafanyabiashara Waangua Vilio

SOKO la Karume (soko la mchikichini) limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Aprili 8, 2022. Imeelezwa kuwa moto huo...

READ MORE

Bella Amshukuru Rais Samia kwa Kuukubali Muziki Wake na Kumpongeza Jijini Dodoma

Christian Bella au King Of The Best Melodies; ni staa wa muziki wa Dansi nchini Tanzania ambaye amemshukuru Rais wa...

READ MORE

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini Zinazotokana na Kukwepa Ushuru wa Maegesho

WAKALA wa barabara Mijini na Vijijini Tarura umetoa taarifa kwa umma kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Aprili 8, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 8, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Wilaya ya Ikungi Yapata Uwekezaji Mpya Wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 3

LEO tarehe 07/04/2022 Mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry C. Muro amesimamia tukio la kihistoria la uwekaji saini ya makubaliano...

READ MORE

Simba Washinda 2-1 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo Wafikisha Pointi 40 Ligi Kuu ya NBC

WAKIWA Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara,Simba wameshinda mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union wakipata...

READ MORE

Nafasi za Kazi 5 TPA, Security Assistant

POST SECURITY ASSISTANT – 5 POST POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES HR & ADMINISTRATION INTERNATIONAL RELATIONS IT AND...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kumbukizi ya Miaka 50 ya Hayati Sheikh Abeid Aman Karume (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Sheikh Amani Abeid...

READ MORE

Ronaldo Amjibu Rooney Amuambia  Aache Wivu ni Baada ya Sakata la Kumuita Mzee

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Cristiano Ronaldo amemjia juu Gwiji wa Manchester United na mchezaji mwenzake wa zamani Wayne Rooney akimuambia...

READ MORE

Chilunda Kukaa Nje kwa Muda wa Wiki Nne, Daktari Adai Haitaji Upasuaji

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Azam FC Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne baada ya...

READ MORE

Meya wa Kinondoni na Kinamama wa Sweet Tanzania Spice Walivyochangia Damu

    MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Dar Songoro Mnyonge ameungana na kinamama wa wajasiriamali wa kikundi cha Sweet Tanzania...

READ MORE

Mdau wa Soka Afunguka, Ammwagia Sifa Ntibazonkiza Adai Yeye ni Kama Mvinyo

UBORA wa Saido Ntibazonkiza umeendelea kuwa juu tangu sakata lake la utovu wa nidhamu na Klabu ya Yanga kumalizika.  ...

READ MORE

Wawekezaji Wawekewe Mazingira Mazuri, Wakiondoka Itakuwa Aibu Kwetu Tanzania

WAKATI kukiwa na ongezeko la bei ya mafuta katika nchi nyingi Tanzania ikiwamo, huenda mitandao ya usafirishaji kama Uber, Bolt,...

READ MORE

Fifa Yakanusha Madai ya Kutumika Dakika 100 Kwenye Kombe la Dunia 2022

BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo...

READ MORE

Urusi Yakamilisha Kuyaondoa Majeshi Yake Kutoka Kyiv na Chernihiv, Marekani Wafunguka

Maafisa wa idara ya ulinzi ya Marekani wamesema kuwa hatua ya Urusi kujiondoa katika mikoa ya Kyiv na Chernihiv sasa...

READ MORE

Spika wa Bunge la Tanzania Ahudhuria Mazishi ya Spika wa Bunge la Uganda

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili...

READ MORE