×

Shatta Wale Akubali Kuzichapa na Burna Boy

HATIMAYE mwanamuziki machachari kutoka nchini Ghana, Charles Nii Armah maarufu Shatta Wale, amekubali ombi la pambano la masumbwi na msanii...

READ MORE

Ahmed Ally Afisa Habari Mpya wa Simba

  KLABU ya Simba imemtangaza Ahmed Ally kuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, kabla ya kutangazwa kuwa Afisa...

READ MORE

Newcastle Wamtaka Aubameyang

Klabu ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika...

READ MORE

Roman Reigns Akutwa na Corona

Bingwa wa Mkanda wa World Wrestling Entertainment (WWE)Universal Championship, Roman Reigns amekutwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo kuondolewa kwenye game...

READ MORE

🔴#LIVE: Simba Yashusha Mashine 5, Mukoko Rasmi Kuondoka Yanga, Familia Yamuondoa Mayele | Krosi Dongo….

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Hatimaye Meli ya Starehe Yaondoka Lisbon

Meli ya safari za starehe inayoendeshwa na kampuni ya Ujerumani, ambayo ilikuwa imekwama katika bandari ya Lisbon baada ya kuzuka...

READ MORE

Marekani Yazuia Mtandao wa 5G

SERIKALI ya Marekani imetoa wito wa kutaka kucheleweshwa kwa shughuli ya usambazaji wa mtandao wa kasi ya 5G kwenye simu...

READ MORE

Aliyemuua George Floyd Yamkuta Gerezani

ASKARI wa Jeshi la Polisi nchini Marekani, Derek Chauvin aliyemuua George Floyd kwa sasa anayaishi matokeo ya matendo yake, akipitia...

READ MORE

🔴#Live: CCM Yajiweka Kando Sakata la Ndugai, Mfumo Dume, Ubaguzi Upuuzwe Nchini.. Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Simba Yaachana na Nyoni, Yashusha Jembe Jipya

UNAAMBIWA Simba wamekuja na staili ya kata mti panda mti, hii ni baada ya kuchukua maamuzi ya kuachana na kiungo...

READ MORE

Nafasi za kazi 60 kutoka UTUMISHI

60+ Job Opportunities at UTUMISHI. On behalf of Bugando Medical Centre (BMC), National Housing Corporation (NHC) and Kibaha Education Centre...

READ MORE

Nafasi ya Kazi EGPAF, Director of Operations (DO)

Title: Director of Operations (DO), Tanzania Location: Dar es Salaam, Tanzania Reports To: Country Director Classification: Full-time   *Please note:...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 3, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 3, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Mwili wa AG wa Kwanza Kenya Wachomwa Moto Saa 3 Baada ya Kifo

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza jana Jumapili,...

READ MORE

Majaliwa Aonya Watengeneza Migogoro Serikalini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka watu wanaotengeneza migogoro dhidi ya viongozi wa Serikali, waache mara moja. Majaliwa alitoa onyo...

READ MORE

Wachezaji Maarufu wa Soka Bongo, Nani Aliyewaroga?

TUMEKUWA tukiona wasanii wa Tanzania wakisaini dili kubwa na kampuni mbalimbali ya kuwa mabalozi wa kampuni husika na kujiingizia kipato...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Kenya Afariki

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa raia wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta...

READ MORE

Serikali ya Mpito Yapendekeza Uchaguzi Usogezwe kwa Miaka 5

Serikali ya Mpito Nchini Mali, imependekeza mchakato wa kurejea katika utawala wa kidemokrasia kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2020...

READ MORE

Updates: Moto Wadhibitiwa Katika Bunge la Afrika Kusini – Video

Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji Afrika Kusini vimesema vimefanikiwa kuudhibiti moto mkubwa ambao ulizuka katika Bunge la Afrika Kusini mjini...

READ MORE