×

Shetta Achaguliwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Diwani wa Kata ya Mchikichini, Nurdin Bilal maarufu Shetta, amechaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Uchaguzi...

READ MORE

Super Unleaded vs Unleaded: Ni Mafuta Gani Yanayofaa gari lako? Soma Hapa

  Katika dunia ya leo ambapo teknolojia ya magari inazidi kukua, madereva wengi wamekuwa wakijiuliza ni mafuta yapi yanafaa zaidi...

READ MORE

Kesi ya Mange Kimambi Yaaahirishwa Hadi Januari 2026 – Sababu Ni Upelelezi Haujakamilika

Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 000021172 ya mwaka 2025, inayomkabili Mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa mpaka Januari 28, 2026 baada ya...

READ MORE

Polisi Morogoro Wafuatilia Kutoweka kwa Mtawa Silianus Korongo – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema linafuatilia taarifa za kutoweka kwa Mtawa aliyetambulika kwa jina la Silianus Korongo (49)...

READ MORE

Nafasi Mpya ya Ajira: Customer Care Wanaohitajika Mara Moja

Nafasi ya Kazi: Customer Care Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa stahiki kwa ajili ya nafasi ya Customer Care....

READ MORE

Polisi Tarime Rorya Wakanusha Taarifa za Kutekwa kwa Mkazi wa Gwitiryo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang’era Kemange maarufu British, mkazi...

READ MORE

betPawa Locker Room Bonus yafikisha Sh 91m NBL 2025 ikielekea nusu fainali

Dar es Salaam. Jumla ya Sh91 milioni mpaka sasa zimetumika kuwalipa Wachezaji mbalimbali wa timu za mpira wa kikapu zinazoshiriki...

READ MORE

Bobi Wine Asema Maisha Yake Yako Hatarini, Avaa Koti la Kuzuia Risasi Katika Kampeni

Mgombea Urais wa Uganda, kupitia Chama pinzani cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama Bobi Wine, amesema...

READ MORE

Simu Mpya Inakusubiri! Piga *149*10# Jumatano Hii na Uwe Mshindi!

Je unajua kuwa ukipiga *149*10# unaweza ukajishindia Samsung A26?. Mechi kibao za kukupatia pesa zipo hapa huku nafasi ya kushinda...

READ MORE

Niffer Amshukuru Rais Samia Baada ya Kuachiwa Huru – Video

Mfanyabiashara Jennifer Bilikwija, maarufu kama Niffer, ameushukuru uongozi wa Serikali na vyombo vya sheria baada ya kuachiwa huru kufuatia uchunguzi...

READ MORE

Airtel Imetangaza Kuendeleza Ushirikiano na UCSAF

Desemba 5, 2025 — Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kwa ushirikiano wake na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kupitia utiwaji...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Naibu Mwenyekiti wa CWEIC Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mwenyekiti wa...

READ MORE

Serikali Yatoa Bonasi kwa Twiga Stars Baada ya Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika

Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, imekabidhiwa bonasi ya shilingi milioni 50 leo Disemba 3, 2025 kama pongezi ya...

READ MORE

Meridianbet Yaachia ODDS Mpya Kwa Michezo Mikubwa Ulaya

Ni Jumatano ya kibabe kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania pointi...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yachangia  Madawati Mkoani Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Bregadia Jenerali.Maulid Sulumbu (kushoto) ambaye amemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Beno Malisa akimkabidhi...

READ MORE

Niffer Awashukuru Watanzania Baada ya Kuachiwa Huru – Video

Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayejulikana mtandaoni kama Niffer ameishukuru serikali na wananchi kwa mshikamano waliomuonyesha kipindi chote alichokuwa akishikiliwa hadi...

READ MORE

Polisi Yaonya Mikakati ya Vurugu na Uhalifu Mtandaoni Kuelekea Desemba 9 -Video

Jeshi la Polisi Tanzania limesema linachukua hatua madhubuti kukabiliana na wimbi la uhalifu wa kimtandao na mipango ya vurugu inayodaiwa...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yawaachilia Huru Jennifer Jovin ‘Niffer’ na Mika Chavala

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachilia huru mfanyabiashara Jennifer Jovin, maarufu kama Niffer (26), na Mika Chavala (32), baada ya...

READ MORE

Miguel Gamondi Atangaza Kikosi cha Taifa Stars AFCON 2025

Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ametangaza leo Desemba 3, 2025, kikosi cha awali cha wachezaji 53 kitakachoshiriki maandalizi ya...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Mwezi Disemba, 2025

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupungua kwa bei za mafuta nchini, hatua inayotokana na...

READ MORE