×

Harnaaz Mrembo wa India Taji la ‘Miss Universe’

MREMBO Harnaaz Sandhu kutoka nchini India ameibuka mshindi kwenye mashindano ya ulimbwende ya ‘Miss Universe’ siku ya jana Desemba 12, 2021...

READ MORE

Mchungaji na Mkewe Mbaroni kwa Kushirkiana Kumbaka Binti wa Miaka 16

JESHI la Polisi Jimbo la Ogun linasema kuwa limemkamata mchungaji mmoja kwa tuhuma za kula njama na mkewe kumbaka msichana...

READ MORE

Diamond Anyakua Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume AFRIMMA

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Africa Mashariki katika sherehe za...

READ MORE

Nandy Anyakua Tuzo ya Msanii Bora wa Kike AFRIMMA

Tuzo ya pili ya #AFRIMMA2021 (African Muzik Magazine Awards) msimu wa 8 imetua ndani ya ardhi ya Tanzania kufuatia mwanadada...

READ MORE

Chillah: Kuna Kitu Nikiongea Nitagawa Nchi

MKONGWE kunako Bongo Fleva, Abubakari Shaban Katwila almaarufu Q-Chief au Chillah anafunguka kuwa, kuna kitu anacho ambacho akikiongea kinaweza kusababisha ...

READ MORE

Pikipiki ya Maajabu: Ukijaribu Kuiba Unakufa, Ina Mwaka Barabarani – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka Magomeni jijini Dar, kushuhudia pikipiki inayohusishwa na Ushirikina ambayo imewekwa kituo cha daladala kwa zaidi...

READ MORE

Rais Samia Ashuhudia Utiaji Saini wa Makubaliano ya Serikali na Kampuni za Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia anashiriki hafla ya Uwekaji Saini ya Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni...

READ MORE

🔴#LIVE: Kisa Barbara TFF Yaishukia Simba, Yanga Watamba Kutwaa Ubingwa | KROSI DONGO

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Taylor Swift Adaiwa Kuiba Mashairi

Staa wa muziki kutoka nchini Marekani na mshindi wa Tuzo za Grammy, Taylor Swift anakabiliwa na kesi ya madai kwa...

READ MORE

Vodacom, YST Wasaidia Vumbuzi Mbalimbali Kidigitali kwa Vijana wa Kitanzania

  Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Young Scientists Tanzania (YST Awards ceremony...

READ MORE

CHADEMA Yataja Vikwazo 3 Kukutana Na Rais, Bulembo Ataka ‘Kichwa’ Cha Polepole | FRONT PAGE

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Nafasi za kazi 2 Tanzania Commercial Bank, Insurance officers

7 is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 13, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 13, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Willy Paul na Diana Marua Kimeuamana

MSANII maarufu wa Kenya, Willy Paul ambaye miaka ya nyuma aliwahi kutamba na wimbo wake wa ‘Jigi Jigi’, ametupiana maneno...

READ MORE

Wafahamu Waasisi 17 wa Uhuru wa Tanganyika

Tanzania Bara jana imeadhimisha kutimiza miaka 60 tangu bendera ya mkoloni Mwingereza iliposhushwa na ile ya Tanganyika kupandishwa na hivyo...

READ MORE

Aliyemuua Bibi Kizee Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

Mkazi wa Kijiji cha Genkuru, tarafa ya Ingwe, Tarime mkoani Mara, Buriani Chacha, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

‘Wahuni’ Wavamia Nyumbani kwa Polepole

Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa CCM, Humphrey Polepole jijini Dodoma leo wakati yeye akiwa safarini mkoani Manyara. Kupitia...

READ MORE

Watakaowadanganya Mawaziri Kuvuliwa Nyadhifa Zao

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amesema meneja, mkuu wa taasisi na watendaji wa wizara hiyo wanaotoa majibu...

READ MORE

Yanga Wasikitishwa na Kauli za Mwenyekiti wa Simba

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa ya kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa wanachama wa klabu ya Simba,...

READ MORE