×

Stamina Aachia Albamu ya Pili ‘Paradiso’

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Boniventure Kabogo (Stamina), ameachia album yake ya pili aliyoipa jina la Paradiso ambayo...

READ MORE

Shule za Remnant Kimbilio la Wazazi

Remnant Nursery and Primary School, ni shule zinazotoa elimu bora kwa watoto kuanzia ngazi ya chekechea hadi darasa la saba...

READ MORE

Mama Awapa Sumu Wanaye Watano, Wawili Wafariki Dunia

Jeshi la Polisi mkoani Geita, linamshikilia mwanamke mmoja, Veronica Gabriel (30), mkulima wa Kijiji cha Mwabagaru, Kata ya Buseresere mkoani...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe, Watoto Wanne Kwa Shoka

Mwanaume mmoja, Paul Murage Njuki (35), mkazi wa Kijiji cha Kathata, Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi...

READ MORE

Ng’ombe 17 Wafa Kimaajabu Monduli

Serikali mkoani Arusha imechukua Sampuli 17 ya Ng’ombe waliokufa Kiutata katika kijiji cha Popo Migungani A eneo la Mto wa...

READ MORE

Waasi Wateka Vijana Msumbiji

Watu wenye silaha wamewateka nyara zaidi ya vijana 100 kutoka kijiji cha Naulala katika Mkoa wa Niassa kaskazini mwa Msumbiji,...

READ MORE

Liverpool Yaitesa Everton

Liverpool imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 4-1 ugenini kwa mahasimu wao wa Everton katika mchezo wa ligi kuu ya kandanda...

READ MORE

Snura Atambulisha EP Yake ya Jini, Amkataa Shilole

MALKIA wa Muziki wa Singeli Snura Mushi a.k.a Snura Majanga ameweka wazi kuwa bado hatamani wala kufikiria kumshirikisha Msanii mwenzake...

READ MORE

Mdundo Yazindua Shindano la Ma-DJ 2021

KAMPUNI inayoongoza kwa huduma mtandaoni Barani Afrika ya Mdundo, imezindua shindano la Ma-DJ, lenye lengo la kutoa fursa kwa Ma-DJ...

READ MORE

Chelsea Yaitungua Watford

Chelsea wameendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa EPL baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Watford...

READ MORE

Beki wa Arsenal Gabriel Apambana na Majambazi Gereji Kwake

Nyota wa Klabu ya Arsenal, Gabriel Magalhaes amekabiliana na wezi waliokuwa wameficha nyuso zao na kujihami kwa silaha ikiwemo marungu...

READ MORE

Nafasi za Kazi 6 Marine Services Company Limited (MSCL), MOTORMAN

POST MOTORMAN II – 6 POST POST CATEGORY(S) TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER Marine Services Company Limited (MSCL) APPLICATION TIMELINE: 2021-11-30...

READ MORE

Man City Yaichakaza Aston Villa

Kocha Steven Gerrard amepokea kichapo chake cha kwanza ndani ya EPL baada ya Aston Villa kulambishwa 2-1 na Manchester City...

READ MORE

Wanaume Wakodiwa Kusindikiza Wajawazito Kliniki

INADAIWA kuwa wajawazito katika kijiji cha Makoga wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe,hulazimika kuwakodi wanaume kutoka katika vijiji jirani ili kuwasindikiza...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wafunga Ushahidi

Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo...

READ MORE

Wauza Madini Feki Wanaswa Sikonge

Mwanamke mmoja mkazi wa mkoani wa Arusha amekamatwa na Jeshi la Polisi katika stendi ya mabasi wilayani Sikonge Mkoani Tabora...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kubaka, Kumpa Mwanafunzi Ujauzito

MAHAKAMA ya wilaya ya Njombe imemuhukumu Bright Peter Dismas (25) mkazi wa Kitisi halmashauri ya mji wa Makambako kifungo cha...

READ MORE

Yanga Yaanza Mazungumzo na Chama

UONGOZI wa Yanga umeanza rasmi mazungumzo na wakala wa kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama anayekipiga Klabu ya RS Berkane ya...

READ MORE

Wazambia Kuwafanyia Undava Simba

UONGOZI wa timu ya Red Arrows ya Zambia, umeweka wazi wamepanga kulipa kisasi katika mchezo wa marudiano dhidi ya Simba...

READ MORE