×

Meridianbet Yaachia ODDS Mpya Kwa Michezo Mikubwa Ulaya

Ni Jumatano ya kibabe kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania pointi...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yachangia  Madawati Mkoani Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Bregadia Jenerali.Maulid Sulumbu (kushoto) ambaye amemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Beno Malisa akimkabidhi...

READ MORE

Niffer Awashukuru Watanzania Baada ya Kuachiwa Huru – Video

Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayejulikana mtandaoni kama Niffer ameishukuru serikali na wananchi kwa mshikamano waliomuonyesha kipindi chote alichokuwa akishikiliwa hadi...

READ MORE

Polisi Yaonya Mikakati ya Vurugu na Uhalifu Mtandaoni Kuelekea Desemba 9 -Video

Jeshi la Polisi Tanzania limesema linachukua hatua madhubuti kukabiliana na wimbi la uhalifu wa kimtandao na mipango ya vurugu inayodaiwa...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yawaachilia Huru Jennifer Jovin ‘Niffer’ na Mika Chavala

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachilia huru mfanyabiashara Jennifer Jovin, maarufu kama Niffer (26), na Mika Chavala (32), baada ya...

READ MORE

Miguel Gamondi Atangaza Kikosi cha Taifa Stars AFCON 2025

Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ametangaza leo Desemba 3, 2025, kikosi cha awali cha wachezaji 53 kitakachoshiriki maandalizi ya...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Mwezi Disemba, 2025

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupungua kwa bei za mafuta nchini, hatua inayotokana na...

READ MORE

Waziri wa Ulinzi Nigeria Ajiuzulu, Jenerali Mstaafu Musa Ateuliwa Kuchukua Nafasi Yake

Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar, amejiuzulu wadhifa wake kutokana na sababu za kiafya, kwa mujibu wa taarifa...

READ MORE

Mbunge Baba Levo Ataka Madiwani na Mkurugenzi Kuacha Kuingiliana Kazi

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ‘Baba Levo’, ametoa onyo kali dhidi ya migogoro inayoibuka kati ya madiwani na wakurugenzi,...

READ MORE

Video Vixen Genno Acharuka “Nilikopwa Kwenye Video ya Diamond na Baba Levo” – Video

Video vixen maarufu Genno ameibua gumzo baada ya kufichua kuwa aliwahi kukopwa malipo katika moja ya video aliyocheza akiwashirikisha wasanii...

READ MORE

Win&Go Yazidi Kutoa Furaha, Lucky Loser Kurudisha Tabasamu

Ulishawahi kuweka tiketi ya Win&Go, ukajiamini, halafu namba zote zikakukimbia kama upepo? Meridianbet wameona hilo, na sasa wanarudisha furaha yako...

READ MORE

Man City Yaibuka na Ushindi wa Mabao 5–4 Dhidi ya Fulham

Manchester City imeondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa 5–4 dhidi ya Fulham katika mchezo wenye...

READ MORE

Msama: Vijana Tulieni Nyumbani Tarehe 09 Msivunje Sheria

Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama amewataka vijana nchini kutokuwa daraja la uvunjifu wa amani. Aidha amewataka wazazi...

READ MORE

Mzinga: Mashabiki Wa Yanga Wanaamini Nikitangaza Mechi Zao Wanashinda – Video

Ndani ya kipindi maarufu Uso kwa Uso na Mo Hussein, wiki hii tunakuletea mahojiano maalum na mtangazaji nyota wa michezo...

READ MORE

CMSA Yasifu Tcb Kwa Kuandika Historia Kwenye Mauzo ya Hatifungani

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, ameipongeza Bodi na Menejimenti ya...

READ MORE

Simba Yasitisha Mkataba na Meneja Mkuu Dimitar Pantev, Matola Kuiongoza Kwa Muda

Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetangaza rasmi kuachana na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev, baada ya kufikia makubaliano ya pande...

READ MORE

Yanga Yawa Klabu ya Kwanza Kujiunga na Jumuiya Mpya ya Vilabu Afrika (ACA)

Klabu ya Yanga SC imeingia kwenye historia baada ya kuwa mwanachama wa kwanza kujiunga rasmi na Jumuiya ya Vilabu vya...

READ MORE

Rais Samia: Matukio ya Oktoba 29, Yalipangwa kwa Lengo la Kuangusha Dola – Video

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa...

READ MORE

Rais Samia: Baadhi ya Taasisi za Dini Zinajiingiza Kwenye Siasa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezilaumu baadhi ya taasisi za dini kwa kujiingiza...

READ MORE

Video: Rais Samia Atoa Onyo Kali Dhidi ya Wachochezi wa Amani ya Taifa

Akizungumza katika Mkutano na Wazee wa Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE