×

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Yaanza kwa Pingamizi

Upande wa utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyella...

READ MORE

Harmonize Atua Bongo, Amlipua Diamond, Aanika Ukweli -Video

MWANAMUZIKI Harmonize, leo Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake baada ya kutua nchini amezungumza...

READ MORE

Harmonize Avujisha Sauti ya Rayvanny, Amlipua Mondi- Video

MWANAMUZIKI Harmonize, leo Alhamisi, Novemba 18, 2021 amerejea nchini akitokea Marekani alipokwenda kufanya shoo zake, baada ya kutua nchini amezungumza...

READ MORE

Pablo: Utakuwa Mchezo Mgumu, Lakini Tupo Tayari -Video

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo leo Novemba 13, 2021 akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba...

READ MORE

Buchosa: Shigongo Awatahadharisha Watakaotafuna Fedha za Uviko 19

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amewatahadharisha watendaji wa Serikali kutothubutu kula fedha za Uviko 19 zinazojenga vyumba...

READ MORE

Davido Aomba Pesa Kimasihara kwa Mashabiki, Apewa Tsh Mil 715

MWANAMUZIKI kutoka nchini Nigeria David Adeleke Adeleji maarufu Davido ameibua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza kuanzisha kampeni ya kuwaomba mashabiki...

READ MORE

Cheka, Alkasasu Kupasuana Usiku wa Mishindo

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini,  Muksini Swalehe ‘Alkasusu’ na Cosmas Cheka wanatarajia kupanda ulingoni  Desemba 3, mwaka huu katika...

READ MORE

Diwani Ataka Wauza Chipsi Watozwe Ushuru

Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Morogoro imetupilia mbali hoja ambayo imewasilishwa na mmoja wa madiwani hao kuwa wauza chipsi...

READ MORE

Serikali Kuipatia Bugando Bilioni 4 ya Vifaatiba – Video

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kanda ya Bugando, Dk Fabian Massaga amesema hospitali hiyo inatarajia kupokea Sh4.2 bilioni kwa ajili...

READ MORE

Watuhumiwa Watatu wa Ugaidi Waliotoroka Gerezani Wakamatwa

Msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa watatu wa ugaidi waliotoroka katika Gereza la Kamiti nchini Kenya, umezaa matunda baada ya watuhumiwa...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Tafiti za Saratani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameagiza kufanyika kwa utafiti wa kina kuhusu ongezeko la...

READ MORE

Rais Samia Avunja Ukimya Sakata la Mgao wa Maji Dar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa ufafanuzi wa adha inayoikumba taifa jumla kwa sasa...

READ MORE

Pablo Aleta Balaa Jipya Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, amekuja kivingine katika kikosi chake akimtaka kila mchezaji kufanya mazoezi binafsi. Hiyo ni...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mashine ya MRI Bugando

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua mashine ya kupima magonjwa mbalimbali (MRI) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...

READ MORE

Mastaa Watano Yanga Kuikosa Namungo

KIKOSI cha vinara wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Yanga SC kinaondoka leo Dar es salaam kueleka Mkoani Lindi ambako...

READ MORE

NBC Yazindua Bima ya Kilimo kwa Wakulima, Wafugaji na Wavuvi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance wamezindua huduma ya bima maalum...

READ MORE

 Rapa Young Dolph Auawa kwa Kupigwa Risasi

Rapa Young Dolph ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya duka mjini, Memphis jana Jumatano. Rapa huyo mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Gomes Apata Timu Mauritania

Aliyekuwa Kocha wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Ya Mauritania.   Gomes...

READ MORE

Live: Rais Samia Akishiriki Katika Maadhimisho Ya Jubilei Ya Miaka 50 Ya Hospitali

 ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50...

READ MORE

Hatimaye P-Square Waungana Tena

HEADLINE kubwa ya entartainment Barani Afrika kwa sasa ni ile inayowahusu Kundi la muziki la P-SQUARE kutoka nchini Nigeria ambalo...

READ MORE