×

Cheki Ndege Ya Uswisi Ilivyotua Kwa Mara Ya Kwanza Ardhi Ya Tanzania-Video

Ndege ya Shirika la Ndege la Uswisi Edelweiss, Airbus A340, imetua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuzindua...

READ MORE

Spika Afanya Mabadiliko ya Wajumbe Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amefanya mabadiliko  madogo ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge taarifa iliyotolewa leo Jumamosi...

READ MORE

Waziri Kijaji Aipongeza NHC Kwa Kazi Nzuri

KWA mara nyingine NHC imeaminiwa na Serikali ya Awamu ya Sita kwa kupewa dhamana ya kuwa Mkandarasi wa jengo la...

READ MORE

Bibi Mlemavu Alia Kuporwa Ardhi-Video

Bi Venansia Kasoli ni bibi ambaye licha ya ulemavu wake lakini bado anapambana vyema katika utafutaji wa mkate wa kila...

READ MORE

Cheki Maajabu Ya Nchi Ya Mauritius-Video

Huu ndio muonekano wa nchi ya Mauritius iliyotawaliwa na fukwe mbalimbali za kuvutia. 

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Bugando Medical Centre, Project Manager

        Background and Purpose: The Bugando Medical Centre (BMC) is the tertiary, consultant, teaching and referral hospital...

READ MORE

Makamu Wa Rais Mhe. Dkt. Mpango Anashiriki Siku Ya Posta Duniani – Dodoma-Video

Kuelekea maadhimisho ya siku ya Posta Duniani leo jumamosi tarehe 9 Octoba, 2021 ambayo inafanyika Dodoma.   Kauli Mbiu Ikiwa...

READ MORE

Amber Lulu Amtamani Jux

MSANII wa muziki Bongo, Amber Lulu amesema amepanga kuzaa watoto watano ambapo kila mtoto atakuwa na baba yake.   Lulu...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Fimbo ya Mwalimu Nyerere

WATU wengi waliobahatika kumuona aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere walikuwa wanamuona...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Tanzania Federation of Co-operatives Ltd (TFC), Executive Secretary

Tanzania Federation of Co-operatives Ltd (TFC) is an autonomous, non- governmental and non- partisan body that is member owned and...

READ MORE

Mrembo Aliekataa Miss World, Aligoma Kuchoma Chanjo

Miss Netherlands 2021, Dilay Willemstein ambaye alipaswa kwenda Nchini Puerto Rico December mwaka huu kushiriki shindano la Miss World 2021...

READ MORE

Queen Darleen: Nungunungu au Karunguyeye?

Mwimbaji Queen Darleen anasema ameshindwa kujipa jina la mnyama kutokana yale makubwa na yanayosifika yameshachukuliwa na kama kutakuwa na ulazima...

READ MORE

SGA Security Yazindua Kituo cha Kisasa cha Mawasiliano

      SGA Security, ambayo ni moja ya makampuni yanayoongoza katika huduma za ulinzi, imezindua kituo cha kisasa cha...

READ MORE

Siyani Ateuliwa Kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua   Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania akichukua nafasi iliyoachwa wazi...

READ MORE

Familia Yaunguliwa Na Nyumba, Baba Na Watoto Wote Walemavu-Video

Ni familia ya Bwana LUGENDO imepatwa na tatizo la kuunguliwa nyumba yao, mbali na hilo familia hii kuanzia baba na...

READ MORE

Sierra Leone Yafuta Adhabu ya Kifo

Sierra Leone imefuta rasmi adhabu ya kifo, baada ya Rais Julius Maada Bio kusaini muswada wa sheria mpya unaokataza adhabu...

READ MORE

Ndege ya Uswisi Yatua Tanzania Kuanza Safari Zake

Ndege aina ya Airbus A343 ya Shirika la Ndege la Uswisi EDELWEISS, imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Rais Samia Amtumbua Sengati, Amteua Sophia Mjema Kuwa RC.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Sofia Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Mjema...

READ MORE

Polisi Waliofukuzwa Kazi Walikuwa Wakikimbiza Magendo ya Sh 30,000

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema tukio la polisi saba waliovuka mpaka na kuingia nchini Malawi...

READ MORE

Haya Hapa Magazeti ya Leo Jumamosi, Oktoba 9, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 9, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE