×

Coca-Cola Rolls Out Sprite in New Clear PET Plastic Packaging in Tanzania

Dar es Salaam, October 2021; The Coca-Cola system in Tanzania has officially unveiled the new iconic look of its leading sparkling...

READ MORE

Nabi Azigomea Kambi Arusha, Zanzibar

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasraddine Nabi, ameugomea uongozi wa timu hiyo, kuhusiana na suala la kutaka kuiweka timu hiyo kambi...

READ MORE

Amuua Mwenzake Wakigombani Mwanamke

Mwanamume mmoja nchini Kenya ambaye jina lake halikufahamika anadaiwa kumuuwa kwa kumpiga na jiwe kichwani mwanaume mwenzake David Maina (35),...

READ MORE

Macvoice Ft Rayvanny – Tamu (Official Video)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva  Macvoice Ft Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya-Tamu.

READ MORE

Mastaa Yanga Kuvuna Milioni 450

YANGA kweli mwaka huu wameamua, hawataki kabisa mzaha kwani katika kuhakikisha kuwa wanatwaa ubingwa msimu huu wameweka kiasi kisichopungua milioni...

READ MORE

Gomes atamba na Kagere Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes kwa mara nyingine tena ameibuka na kutoa kauli ya kibabe kumpandisha straika wake hatari...

READ MORE

Tamisemi Yafafanua Wanafunzi Wanaotumia Mtumbwi Kwenda Shule

OFISI ya Rais TAMISEMI imekiri kuona video fupi inayosambaa kwenye mitandao ikionesha wanafunzi wakitumia mitumbwi kwenda na kutoka shuleni.  ...

READ MORE

Kanali Doumbouya Amteua Beavogui Kuwa Waziri Mkuu

Kiongozi wa jeshi la Guinea amemtaja mfanyikazi wa zamani wa serikali Mohamed Beavogui kama waziri mkuu kusimamia mabadiliko ya utawala...

READ MORE

Mkasa Mzito Wa Dj Wa Burna Boy, “Nimetembea Mwanza Mpaka Dar, Kutoboa Pua?”-Video

Global Tv imepiga story na star anaefahamika kwa jina la DJ JOOSEY na kusimulia safari ya mafanikio yake hakuwai kufikiria...

READ MORE

Kisa Wabotswana, Gomes Avunja Mapumziko Simba

BAADA ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha Simba juzi Jumatatu kilirejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza...

READ MORE

Waghana Wawafuata Mayele

YANGA ipo katika mazungumzo ya mwisho na Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana itakayokuja nchini kucheza mchezo wa kirafiki.  ...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laua 20 na Kujeruhi Zaidi ya 300 Pakistan

TAKRIBANI watu 20 wakiwemo watoto saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa, katika tetemeko lililoipiga Pakistan usiku wa...

READ MORE

Uhispania Yaitungua Italia, Yatinga Fainali

TIMU ya Taifa ya Uhispania imefanikiwa Kutinga Fainali ya michuano ya Uefa Nation League baada ya ushindi wa 2-1 dhidi...

READ MORE

Ommy Dimpoz Asimulia Alikiba Alivyookoa Maisha Yake-Video

MSANII  wa Bongo Fleva Omary  Faraji Nyembo, maarufu kama Ommy Dimpoz, usiku wa kuamkia leo kwenye Listening Party ya albam...

READ MORE

Nabi, Gomes Vita Mpya Ligi Kuu, Stars Kamili Kuwavaa Benin Leo-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Ubunifu: Kijana Aaunda Mashine Ya Kutengeneza Vifungashio Kwa Kutumia Karatasi-Video

Clinton Joseph ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa mji wa Babati mkoani Manyara, kijana huyu ni miongoni...

READ MORE

Mwenyekiti wa Baraza la wazee CHADEMA Afikishwa Mahakamani

  Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Hashim Issa (63), amefikishwa katika Mahakama ya...

READ MORE

Nabi: Yanga Tutashinda Kila Mechi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamba kuwa baada ya kupata ushindi kwenye michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi...

READ MORE