×

Spoti Xtra Lagawa Tiketi kwa Mashabiki Simba

GAZETI la Spoti Xtra jana liligawa tiketi kwa mashabiki Simba katika mchezo wa Tamasha la Simba Day uliopigwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wawili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 20, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Rais Samia...

READ MORE

Huyu Kanoute ni Mtu Babake

KWA mara ya kwanza msimu huu, Simba wamewaonyesha mashabiki wao kuwa wanauwezo wa hali ya juu uwanjani.   Simba walikuwa...

READ MORE

Duchu Kaanza, Tunawasubiri Ndemla, Ame..

HAZINA ya Tanzania watakuwa ni Watanzania wenyewe, hakuna ubishi! Mara nyingi nimekuwa nikipambana kujaribu kuwakumbusha wazalendo hasa wale wanaocheza soka kwamba...

READ MORE

Aucho, Djuma Wakabidhiwa Simba

WAKIACHWA nchini kiungo Khalid Aucho, Shaban Djuma na Fiston Mayele wameachiwa program maalum mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo...

READ MORE

TP Mazembe Walivyozuiwa Getini

MASHABIKI wa Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo jana walionja joto ya jiwe baada ya kuzuiwa getini walipokuwa kwenye...

READ MORE

Mbwa Mwenye Masikio Makubwa Zaidi Duniani Avunja Rekodi

TUMEZOEA kuona binadamu wakiweka rekodi mbalimbali, lakini mara hii tunashuhudia mbwa anayejulikana kwa jina Lou akiweka Rekodi ya Dunia ya...

READ MORE

Ronaldo Hapoi Ulaya

CRISTIANO Ronaldo ameendeleza umwamba wake kwenye Ligi Kuu England baada ya jana kufunga tena wakati Man United ilipowachana West Ham...

READ MORE

Afande Msemwa Aanza Kutoa Ushahidi Kesi ya Mbowe

SHAHIDI wa tatu katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi, inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu...

READ MORE

Afande Mahita Amaliza Ushahidi Kesi ya Mbowe

Shahidi wa pili katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...

READ MORE

Lyyn: Sitaki Mwanaume Asiye Na Pesa

Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana...

READ MORE

Mtoto Mwingine Mwenye Maajabu Atikisa, Anatibu kwa Maji na Duaa – Video

Wakati gumzo la mtoto Eunice Atieno mwenye umri wa miaka miwili na nusu, mkazi wa Kijiji cha Bukama, Rorya mkoani...

READ MORE

Waliomuua Hamza Wapewa Zawadi “Mapambano Yanaendelea” – Video

JESHI la Polisi nchini limewapa zawadi askari walipambana na kumuua mtu mmoja aliyefahaika kwa jina la Hamza Mohammed mkazi wa...

READ MORE

Usichojua Kuhusu Msanii Mpya Wa Rayvanny

  MKURUGENZI wa lebo ya muziki ya Next Level Music (NLM) ambaye pia ni msanii aliye chini ya Lebo ya...

READ MORE

Fitna Zawaondoa Yanga SC Klabu Bingwa Afrika

KWA walichowafanyia Yanga unaweza kusema kuwa Wanaijeria sio watu wazuri kwa kuwa wametumia nguvu kubwa kuwatoa mchezoni wawakilishi wa Tanzania...

READ MORE

Mbowe Atinga Mahakamani na Kitabu Hiki – Video

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, leo Jumatatu, Septemba 20, 2021 wamefika katika chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Tiles Zing’olewe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amegiza marumaru zilizowekwa kwenye sakafu ya wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Karagwe ziondolewe...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Manny Pacquiao Kuwania Urais Ufilipino

BONDIA mashuhuri wa Ufilipino, Emmanuel Dapidran Pacquiao maarufu kama ‘Manny Pacquiao’ ametangaza leo kuwa atawania kiti cha urais kwenye uchaguzi...

READ MORE

Pele: Ninaendelea Vizuri

Gwiji wa Soka wa Brazil, Pele (miaka 80) ameandika kwenye ukurasa wa Instagram kuwa anaendelea vizuri na anawashukuru wanafamilia wote...

READ MORE