×

Rais Bouteflika wa Algeria Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda...

READ MORE

Wanigeria Waifumua Safu ya Ulinzi Yanga

UPO uwezekano mkubwa wa kuwepo mabadiliko katika safu ya ulinzi ya Yanga katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali...

READ MORE

Nisha Azindua Nyumba Yake Mpya – Video

Usiku wa kuamkia leo mwigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Salma Jabu maarufu kama Nisha amezindua nyumba yake aliyoijenga maeneo ya...

READ MORE

Omog Atajwa Mtibwa Sugar

BAADA ya aliyetarajiwa kuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thierry kutimkia Simba, inatajwa kuwa uongozi wa timu hiyo upo...

READ MORE

Maua Sama ft Young Lunya – AWAY (Official Audio)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama Ft Young Lunya,  Septemba 17, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Sightsavers, Driver Singida

        About the role This role will provide transport, logistical and administrative support to include:   transportation...

READ MORE

Kikosi cha Simba Chatua Dar Kuwavaa Mazembe-Video

Kikosi cha Simba SC kimewasili Jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Arusha walikuwa wameweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya...

READ MORE

Tabora: Amuua Mkewe na Watoto Wawili Kinyama – Video

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mkewe na watoto wawili wanaodaiwa kuuawa kwa...

READ MORE

Morrison Alia Kuwakosa Yanga

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amejikuta akitoa kilio kufuatia kutokuwa sehemu ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya...

READ MORE

Gomes Aja na Pacha Mpya ya Mabao Simba

HATIMAYE Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amekamilisha kazi iliyompeleka kwenye maandalizi ya msimu ujao wa michuano mbalimbali kwa kuunda...

READ MORE

Madaktari TZ Wapendekeza Chanjo Corona Kuwa Lazima

IKIWA ni mkakati wa kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo...

READ MORE

Masau Bwire Afunguka Simba Walivyompa Ofa

WAKATI jina la Masau Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting likitajwa kuibukia mitaa ya Msimbazi kubeba mikoba ya Haji Manara,...

READ MORE

Nabi Kuandika Historia kwa Wanigeria

KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine...

READ MORE

Wakimataifa, Kazi na Iendelee Caf

WIKIENDI iliyopita ilikuwa tamu na chungu kwa wadau mbalimbali wa soka hapa nchini kufuatia michezo ya kwanza ya hatua ya...

READ MORE

Gomes Awekewa Mtego Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa, Didier Gomes, ana kibarua kigumu katika kupanga kikosi chake cha kwanza kutokana na ushindani wa...

READ MORE

Mjamzito Ajifungua Kalunguyeye Simiyu – Video

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja, Regina Frednand (46) mkazi wa Mtaa wa Butiama Kata ya Sima katika Halmashuari...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumchezea Mtoto Sehemu za Siri – Video

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Antony Lugendo (34)mkulima,mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike...

READ MORE

Ruto Akubali Kupatanishwa na Rais Kenyatta

MAKAMU wa Rais wa Kenya William Ruto ameafiki nia ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya ya kumpatanisha na Rais...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Techifx Tanzania, Sales and Marketing Officer

    Job Description:  This role includes research and development of various marketing strategies  for our products and services. You...

READ MORE

Beki Mpya Mkongo Ampasua Kichwa Gomes

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amevutiwa na uwezo wa beki wake mpya wa kati raia wa DR...

READ MORE