×

Majina ya Waliochaguliwa na NACTE Kujiunga Vyuo vya Afya

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, ili kusimamia...

READ MORE

Ndugai Ataka Gwajima Awajibishwe: Ukiwa Askofu Utudanganye? – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema Vyombo vya Serikali na Chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana...

READ MORE

Mbowe Ataka Kesi Yake Isiendeshwe na Mahakama ya Mafisadi

MAWAKILI wa upande wa Utetezi Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakiongozwa na Peter Kibatala wameitaka mahakama Kuu ya...

READ MORE

Breaking: Yanga Yamtangaza Senzo Kuwa Mtendaji Mkuu – Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela leo Agosti 31, 2021 amemtangaza, Senzo Mbatha kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (C.E.O)...

READ MORE

LIVE: ROSE NDAUKA NDANI YA BONGO 255 GLOBAL RADIO

Staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka ambaye kwa sasa pia anafanya muziki wa Bongo Fleva, leo Agosti 31, 2021 ametinga...

READ MORE

Harmonize Atamani Kuwa na Mrembo Huyu

STAR wa Bongo Fleva, Rajab Abdul almaarufu Harmonize Konde Boy Mjeshi, ameendelea kusisitiza kuwa anahitaji mrembo wa aina flani ambaye atakuwa...

READ MORE

Askofu Gwajima na Silaa, Wapigwa Bonge la Adhabu

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limewasimamisha wabunge wawili, Jerry Silaa na Josephat Gwajima, kuhudhuria mikutano miwili ya bunge...

READ MORE

Bunge: Jerry Silaa Afutiwe Uwakilishi – Video

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetoa azimio mbunge wa Ukonga Jerry Silaa asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili ya...

READ MORE

Marekani Yaharibu Vifaa Vyake Vya Kijeshi Afghanistan

Jeshi la Marekani lilihakikisha linalemaza ndege zao na magari ya silaha waliyoyaacha kwenye uwanja wa ndege mjini Kabul kabla ya...

READ MORE

Utaratibu wa Kuendesha Bunge Wabadilishwa – Video

BUNGE leo Agosti 31, 2021 limepunguza muda wa kukaa bungeni na sasa litakuwa likianza saa 8 mchana na kuisha saa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi International Schools, Teachers

  QUALIFICATIONS The Posts call for highly qualified, mature, self-motivated and of a high personal integrity. The candidates must be...

READ MORE

Kilichowakuta Slaa na Gwajima, Viburi, Dharau Zatajwa – Video

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki maamuzi ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge...

READ MORE

Askofu Gwajima Apewa Akutwa na Hatia ‘Asimamishwe’ – Video

Kamati ya Bunge imetoa azimio sakata la Mbunge wa Jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kupewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili...

READ MORE

Hukumu ya Gwajima na Silaa Live Bungeni – Video

SAKATA la wabunge Askofu Josephat Gwajima na Jerry Silaa limetua bungeni na leo Jumanne mchana mbivu na mbichi itajulikana kuhusu...

READ MORE

Harmonize – Teacher (Official Music Video)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Teacher.

READ MORE

Ndugu Watano wa Hamza Waendelea Kushikiliwa

WATU watano wanaendelea kuhojiwa na Jeshi la Polisi nchini kufuatia shambulio lililofanywa na Hamza Mohamed na kusababisha mauaji ya askari...

READ MORE

Zari Ashtua Mamilioni ya Wafuasi Wake

MIONGONI mwa stori zilizotrendi wikiendi iliyopita ni pamoja na kitendo cha mwanamama tajiri, Zarinah Hassan almaarufu Zari The Boss Lady,...

READ MORE

Infinix Yawapatia Tabasamu Wateja Wake

    Kwa takribani wiki kadhaa sasa zimepita tangu Promosheni ya Kuli Kuliko kutoka Infinix imeanza na hitimisho lake ilikuwa...

READ MORE

Ahukumiwa Jela Maisha kwa Kumbaka Mtoto wa Miezi 19

MAHAKAMA ya Wilaya Njombe imemuhukumu kifungo cha maisha jela Steward Mkongwa (33) baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto...

READ MORE

Mwanamke Afariki Baada ya Kupata Chanjo ya Pfizer

SERIKALI ya New Zealand imeripoti kile inachoamini kuwa kifo cha kwanza kinachohusisha chanjo ya corona ya Pfizer. Bodi huru inayosimamia...

READ MORE