×

LIVE: Machinga Avua Nguo Kutetea Meza Kariakoo, Makala Atoa Tamko| Mbowe Mahakamani Leo

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Jerome Boateng Akutwa na Hatia ya Kumshambulia Mpenzi Wake

MWANASOKA wa Ujerumani, Jerome Boateng amepatikana na hatia ya kumshambulia mpenzi wake wa zamani, na ameamrishwa kulipa faini ya euro...

READ MORE

Bei Imeshuka! Mnada Mkubwa wa Bajaji Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM...

READ MORE

Washindi wa Tusua Mapene ya Vodacom Waeleza Furaha Yao

      Mwezi wa saba mwaka huu, shindano la Vodacom Tanzania la “Tusua Mapene” lilitangaza ushindi wake mkubwa katika...

READ MORE

Rais Samia Aielezea Royal Tour

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa Royal Tour ni kipindi maarufu duniani kitakachotumika kurusha...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo September 10, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 10, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mabasi ya Mwendokasi Yasitisha Safari Mbezi, Mwenge, Kawe

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mabasi yaendayo haraka (Udart), John Nguya amesema wameamua kusitisha safari za Shekilango – Mwenge na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Waliobebana Mshkaki Wafariki kwa Kugongwa na Fuso

WATU watatu waliokuwa wamebebana kwenye pikipiki (Mshikaki) wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na fuso lenye namba za usajili...

READ MORE

Bocco Arejea Uwanjani Kukiwasha Simba Day

MSHAMBULIAJI na Nahodha wa Simba, John Bocco anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachocheza dhidi ya TP Mazembe...

READ MORE

Walimu Ruksa Kuhama Mijini Kwende Vijijini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe Ummy Mwalimu amesema walimu wanaotaka kuhama kutoka mijini...

READ MORE

Makambo Awekewa Bil 1.5 awamalize Wanigeria

JEURI ya fedha imeanza Yanga! Ndivyo utakavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kutangaza kwamba, endapo ushindi utapatikana nyumbani...

READ MORE

Basi la Mwendokasi Lagonga Pikipiki, Laua Wawili

WATU wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki. Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum...

READ MORE

Mbeya: Mtoto Mbaroni kwa Kubaka Mtoto na Kumuua

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limemkamata Hamisi Ibrahim (15) akituhumiwa kumbaka na kumuua mtoto mwenye umri wa miaka sita....

READ MORE

Yafahamu Matukio 5 Ambayo Marekani Hawatayasahau

MAREKANI ni taifa kubwa kiuchumi linalotajwa kuwa taifa namba moja duniani lenye nguvu ya ushawishi kwenye maeneo mengi ikiwemo kijeshi,...

READ MORE

Tanzia: Hillary Ngonyani Afariki Dunia

MWENYEKITI Mstaafu wa Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga, Hillary Ngonyani amefariki dunia. Ngonyani amefariki dunia leo Septemba 9, 2021...

READ MORE

RC Makalla Apiga Marufuku Biashara Barabarani, Atoa Siku 7

  Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametoa wiki moja kwa wafanyabiashara...

READ MORE

Mapacha Waoa Mke Mmoja, Wampa Mimba

IMEZOELEKA kuwa mara nyingi mapacha hupenda kuoa/kuolewa na mapacha wenzao lakini mambo yamekuwa tofauti kwa mapacha hawa ambao wamewaacha watu...

READ MORE

Yafahamu Matukio 10 ya Kukumbukwa Katika Maisha ya Soka ya Ronaldo

Cristiano Ronaldo amerejea Manchester United. Akiwa na kapu la mabao na kukusanya makombe lukuki tangu aondoke Old Trafford, mshambuliaji wa...

READ MORE