×

Ratiba Ligi Ya Mabingwa Afrika 2021/22

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF), limetangaza ratiba ya kwanza ya mashindano ya vilabu barani Afrika kwa msimu...

READ MORE

Poulsen: Cecafa U23 Itatuongezea Ufanisi Kuelekea Kombe la Dunia

KOCHA mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Kim Poulsen amefunguka kuwa ana matumaini makubwa michuano ya Kombe...

READ MORE

Mbowe Ataka Chanjo ya Corona Iwe Lazima kwa Watanzania Wote

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo Jumatatu, Julai 19, 2021 ameongea na Waandishi wa Habari...

READ MORE

Ukimbizi, Uasi Hadi Mke wa Rais

SAFARI ya maisha ya mke wa Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye; Angeline Ndayubaha Ndayishimiye ni ndefu, baada ya kuzaliwa Juni 18,...

READ MORE

Gwambina Yavunja Mlango, Yadaiwa Laki Tano

TIMU ya soka ya Gwambina ya mkoani Mwanza italazimika kulipa shilingi laki tano kutokana na kuvunja geti dogo la Uwanja...

READ MORE

Zuma Kutolewa Gerezani?

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kutolewa gerezani kwa dharura ili aweze kuhudhuria mazishi ya kaka yake,...

READ MORE

Sabaya Kortini Tena, Kesi Yake Kusikilizwa Siku 14

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu na Daniel Mbula, leo wamepandishwa kwa...

READ MORE

Tanki la Mafuta Laua Watu 13

Watu wapatao 13 wamefariki dunia baada ya tangi la mafuta ya petroli kulipuka huko magharibi mwa Kenya, usiku wa kuamkia...

READ MORE

Kalemani Atoa Siku 90 Maisome Kupata Umeme wa Tenesco, Ashusha Bei

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 90 kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na wakala wa umeme vijijini...

READ MORE

Mashuhuda Waanika Tukio la Aliyeua Kisha Kujiua kwa Risasi

MASHUHUDA wamesimulia kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya...

READ MORE

Achana na Tozo ya Miamala, Tozo Mpya ya Laini za Simu Kuanza Agosti

  WAKATI kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia...

READ MORE

Hili Ndo Gari la Gharama Zaidi Duniani, Sawa na Nyumba 600

KUMILIKI gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maelekezo Sakata la Tozo za Miamala – Video

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 19, ametoa taarifa ya miamala ya simu na kusema...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Konde

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Konde visiwani Zanzibar, baada ya mgombea wake Sheha Faki kujipatia kura...

READ MORE

Mwanamke Mwenye Kucha Ndefu Zaidi Duniani

AYANNA Williams, mwanamke anayeishi Texas nchini Marekani, ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya Kitabu cha Kumbukumbu cha Guinness World Records ya...

READ MORE

Ditopile: Tumuunge Mkono Rais Samia Tozo Miamala ya Simu

MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka watanzania nchini kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa...

READ MORE

Ufaransa Waandamana Kupinga Chanjo ya Corona

ZAIDI ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa....

READ MORE

Katambi Afunguka Makato Miamala ya Simu

MBUNGE wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amewataka wananchi wasilalamike juu ya makato ya miamala ya simu na ongezeko la bei...

READ MORE

Nafasi ya kazi Unilever, Welfare Manager

Purpose of the Role The role exists to ensure the delivery of UTT’s welfare priorities providing advice, guidance and practical...

READ MORE

Aliyeua na Kujiua Dar Alikuwa Mhasibu

ALEX Korosso kwa jina maarufu la Simba anayedaiwa kuua na kisha kujiua, alikuwa mhasibu wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA),imeelezwa....

READ MORE