×

Magazeti ya Leo Jumatano, Julai 22, 2021

   Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 22, 2021. Usipitwe...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Mwalimu Benki Yajivunia Mafanikio Ya Miaka Mitano

Benki ya Mwalimu (Mwalimu Commercial Bank Plc) inajivunia kutimiza miaka mitano ya mafanikio tangu kuanzia kwake Julai 22, 2016 na...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Corona “Delta” Chaua 116 Waliochanjwa

WATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA. Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili,...

READ MORE

Sengerema, Buchosa Kuondokana na Changamoto za Maji

MRADI wa uanzishwaji wa Kituo kitakachosaidia kuondoa changamoto zinazoikabili jamii nchini hususan maeneo ya vijijini, umetambulishwa kwa wananchi wilayani Sengerema...

READ MORE

Tofauti Ya Eid Ul-Fitr Na Eid Ul-Adha

LEO (Julai 21) Waislamu kote nchini wameungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid ul-Adha ambayo kwa wengine huiita Idd...

READ MORE

Bocco: Tunawafunga Yanga Fainali Shirikisho

MSHAMBULIAJI na nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco ameweka wazi kuwa, kikosi chao kimejiandaa vizuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi...

READ MORE

🔴#LIVE: Simanzi Mazishi ya Gift Aliyeuawa kwa Risasi

MWILI wa marehemu Gift Mushi aliyepigwa risasi na Alex Korosso katika baa ya New Lemax, Sinza jijini Dar. Mwili wa...

READ MORE

Gumzo Manara Kuondoka Simba “Asanteni, Imetosha”

SINTOFAHAMU imetanda baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kudaiwa kujiuzulu. Hayo yamejili baada...

READ MORE

Makambo, Mayele Waaga Ishu Ya Kutua Yanga

RASMI sasa hivi mshambuliaji wa AS Vita, Fiston Mayele na Heritier Makambo anayekipiga Horoya AC wanatua Yanga ni baada ya...

READ MORE

Majaliwa Aongeza Siku Uchunguzi Soko la Kariakoo – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongeza siku saba kwa Tume aliyoiunda kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hadi Julai 25, mwaka...

READ MORE

Polisi Watapakaa Mwanza, Hivi Ndivyo Halio Ilivyo

JESHI la Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka...

READ MORE

Anaconda Jike Humeza Dume Baada ya Kujamiiana

NYOKA aina ya anaconda jike (Female Green Anaconda), huwa na kawaida ya kuwala madume mara tu baada ya kujamiiana nao...

READ MORE

Live: Aliyemuua Mwenzake Kwa Risasi Sinza, Kisha Akajiua, Mwili Wake Unaagwa Muda Huu…

 MWILI wa Kijana Alex ambaye alimuua kijana Gift kwa risasi naye akajiua siku chache zilizopita unaagwa katika hospitali ya...

READ MORE

Chama Afunika Yanga Kwa Asisti Ligi Kuu

MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2020/21 ndiyo hivyo umeshatupungia mkono wa kwaheri ambapo hapo jana ilipigwa michezo ya mzunguko wa...

READ MORE

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na utaratibu uliotumiwa na Uongozi wa Shule ya Gilbert Bayi wa kudai stahiki zake...

READ MORE

Mbosso – Mtaalam (Official Music Video)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia...

READ MORE

Waliovamia Bunge la Marekani Wahukumiwa

KWA mara ya kwanza hukumu ya kifungo cha gerezani imetolewa kwa mtu aliyehusika na uvamizi wa jengo la bunge na...

READ MORE

Harmonize Amwangukia Sarah, Aomba Msamaha -Video

MSANII wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize amemwangukia aliyekuwa mkewe, Sarah Michelotti Kupitia wimbo wake mpya aliopafomu laivu kwenye bonge...

READ MORE

Majaliwa: Tuchukue Tahadhari ya Corona, Tupige Nyungu

WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa amewasisitiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Amewataka waendelee kuzingatia mambo...

READ MORE