×

Wastaafu Watembelea SGR Morogoro

Viongozi wastaafu wakiongozwa na marais wastaafu wa awamu ya pili na ya nne, Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete,...

READ MORE

Yagga – Ninogeshe (Official Music Video)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Yagga ameachia video ya wimbo wake mpya wa Ninogeshe. Mdundo wa kazi hii...

READ MORE

Watoto Wamuua Baba Yao, Watupa Mwili Wake Kisimani

Katika hali ya kushangaza huko nchini Kenya Watoto wawili wamemuua baba yao huku chanzo cha mgogoro kinatajwa kuwa ni kugombea...

READ MORE

Mwakalebela: Tutaifunga Tena Simba Kigoma

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, amesema baada ya ushindi dhidi ya Simba kwenye mchezo uliopigwa Julai 3, mwaka huu...

READ MORE

Moto wa Ajabu Waibuka Kwenye Ibada ya Mazishi ya TB Joshua

MOTO umezuka na kuzua taharuki kwa waumini na waombolezaji katika Kanisa Kuu la Kikristo la Mataifa la mhubiri wa kimataifa,...

READ MORE

Simanzi Mazishi ya Eng. Mfugale

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewaongoza Viongozi mbalimbali na Waombolezaji kutoa salamu...

READ MORE

Mwanafunzi Akutwa Ameuawa Chumba cha Kupanga

MWANAFUNZI mmoja wa Chuo cha KMTC mwenye umri wa miaka 23 amekutwa amefariki kwenywe nyumba yake aliyokuwa amepanga huko Oriang...

READ MORE

KMC Yagoma Kuipa Ubingwa Simba

UONGOZI wa Klabu ya KMC, umefunguka kuwa, timu yao ipo kwenye maandalizi mazuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wa...

READ MORE

Simba Yaifanyia Umafia Yanga, Yaondoka na Nyota Wawili

KLABU ya Simba inasemekana baada ya kufungwa na Yanga, Julai 3, 2021 imeanza kuifanyia umafia timu ya Yanga, kwa kuwasainisha...

READ MORE

Majaliwa: Tumedhamiria Kuendeleza Zao La Zabibu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 5, 2021 ametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanzania(TARI) katika eneo la uzalishaji miche...

READ MORE

Pacha Alivyookoa Maisha ya Mwenzake Akipumulia Mashine

Ushawahi kusikia kuwa mapacha wana nguvu kubwa sana za kiroho? Ingawa Wanasayansi bado hawajasema kitu kuhusu hilo, kuna watu wanaosema...

READ MORE

Ukatiri: Amuua Mpenzi Wake na Mtoto Kisa Elfu 80

Mkoani Geita, Mwanamume aliyemuua mpenzi wake baada ya familia kushindwa kumlipa pesa alizotumia kumtunza baada ya kuwekeana nadhiri ya ndoa...

READ MORE

Nusu Fainali Ya Euro 2020 Kuchezwa Wiki Hii

Hakika Mashindano ya Euro 2020 yamekuwa na matokeo ya kila namna, waliotegemewa wameondoka na wasiotegemewa wamesogea mbele. Italia, Uhispania, Denmark...

READ MORE

Video: Sabaya, Kakoko Ngoma Nzito, Kikwete, Mwinyi Wanena | Front Page..

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Uvumi wa Karrueche Tran Kurudiana na Chris Brown..Karrueche Tran Afunguka

Uvumi wa Karrueche Tran kurudiana na Chris Brown ulishika vichwa vya habari duniani wikendi iliyopita, hii ni baada ya wawili...

READ MORE

Wawili Wafariki, 16 Wanusurika Hifo kwa Kula Chakula Harusini

  WATOTO wawili wamefariki dunia na wengine 15 wamenusurika kifo baada ya kula chakula ambacho kinadhaniwa kuwa na sumu katika...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumiliki Karakana ya Silaha

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumiliki karakana ya kutengeneza silaha za kienyeji aina...

READ MORE

Uingereza Kuondoa Vizuizi vya Corona

WAZIRI MKUU wa Uingereza Boris Johnson  ,  ametangaza hatua ya kuondoa vizuizi vya kudhibiti kusambaa virusi vya Corona, vya uvaaji...

READ MORE

Ulega Ataja Mkakati Wa Kuthaminisha Zaidi Dagaa

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega Julai 3, 2021 amesema serikali imejipanga kuhakikisha inaboresha uvuvi wa dagaa hasusan...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 – AA TANCH, Mobile Application Developers

Projects: SOKOKUUONLINE AND TANCH EXPRESS APP SUMMARY: AA TANCH holding company ltd is a private limited company established in 2018.It...

READ MORE