×

Tanzia: Sophia Nyerere Afariki Dunia

Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, Sophia Nyerere amefariki dunia leo Jumanne Julai 27, 2021 katika Hospitali...

READ MORE

Solskjaer: Pogba Ataisaini Mkataba Man Utd

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anaamini kuwa kiungo wake Paul Pogba atasaini mktaba mpya na timu hiyo....

READ MORE

Video: Rais Samia Awaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Dsm

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Julai 27, 2021 anawaapisha Mabalozi wateule Ikulu jijini...

READ MORE

Morrison Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Juni

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison, amekabidhiwa kitita cha shilingi Ml 1, kutoka kampuni ya Emirates Alluminium...

READ MORE

SportPesa Yakabidhi Mil 100 Kwa Simba

WADHAMINI wa Simba Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa, leo wameikabidhi timu hiyo hundi ya Sh 100Mil kama bonasi...

READ MORE

UVCCM yamvaa Askofu Gwajima Sakata la Chanjo -Video

Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake...

READ MORE

Asilimia 60 ya Watanzania Kuchanjwa, Watakaoanza ni Hawa

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Gerson Msigwa amesema kuwa chanjo za homa ya virusi vya...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Mwenyekiti wa CCM Kusini Unguja

Rais Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja, Ramadhan Abdallah...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Ugeni Huu Ikulu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Julai 27, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia...

READ MORE

CCM Yapata Pigo

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Chanjo ya Corona Sio Lazima

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya...

READ MORE

Michezo Ya Olympics Olympics Imefikia Patamu!

Michuano ya Olympics bado inaendelea kutupa burudani katika viwanja vya jiji la Tokyo. Soka la wanawake na wanaume U23 linaendelea...

READ MORE

Maagizo ya Waziri Mkenda Kwa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji

  Waziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda ameielekeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuhakikisha inashirikiana na Umoja wa Wajasiriamali...

READ MORE

Mtoto wa Anna Mghwira Anena Mazito Kifo cha Mama Yake- Video

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amewaongoza mamia ya Wananchi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha katika kuaga mwili pamoja na kuongoza mazishi...

READ MORE

Kocha AS Vita: Yanga Imelamba Dume Kwa Mayele

BAADA ya Yanga kukamilisha usajili wa mshambulaiji wa AS Vita, Fiston Mayele, kocha msaidizi wa AS Vita Roul Shungu amesema...

READ MORE

Kazadi: Mukoko Ameniita Nije Yanga

MSHAMBULIAJI Francis Kazadi Kasengu amesema kuwa Mukoko Tonombe ni moja kati ya watu wanaomshawishi kwa kiasi kikubwa kujiunga na klabu...

READ MORE

Chris Mugalu Mchezaji Bora

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba , Chris Mugalu amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu (VPL), msimu...

READ MORE

CAS Yataja Siku ya Hukumu Kesi ya Bernard Morrison

KAMA ulikuwa unadhani klabu ya Yanga inatania katika kesi yao dhidi ya Bernard Morrison basi jua kuwa klabu hiyo ipo...

READ MORE

Serikali Yasitisha Matamasha, Ibada za Mazishi Dakika 30

Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum...

READ MORE

Manara Asitisha Kuongea na Wanahabari

MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Haji Manara, amesema hatoongea lolote kama alivyoahidi juma lililopita. Manara...

READ MORE