×

Nikki wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe-Picha

Nickson Simon maarufu Nikk wa Pili   ameapa mbele ya Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge kuwa mkuu wa wilaya...

READ MORE

Mbunge Apongezwa kwa Kutopiga Sakarasi Bungeni

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi  Godfrey Kasekenya, amempongeza Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay, kwa kutopiga sarakasi Bungeni,...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Neno kwa Viongozi Waliapishwa- Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Akitoa neno kwa Viongozi wawili Mkuu wa mkoa wa Tabora...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wawili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu,Juni 21 2021 awaapisha viongozi wawili, hafla hiyo imefanyika...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule- Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Pata Habari za Udaku na Michezo Kwenye Simu Yako

Pata habari mbalimbali za kimichezo KWA NJIA YA SAUTI, moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi ya VODACOM. Utapata...

READ MORE

Meya Jiji la Dar Azungumza na Wahitimu Chuo cha Ufundi Apec Kivule.

MEYA Jiji la Dar es salaam Omary Kumbilamoto ameshiriki katika Mahafali ya pili katika Chuo cha Ufundi APEC kilichopo katika...

READ MORE

Dozi Bil. 1 za Covid- 19 Zatolewa China

CHINA imetangaza  kwamba imefikisha jumla ya Dozi bilioni moja za   chanjo dhidi ya COVID-19 kufuatia kampeni yake kubwa kabisa ulimwenguni...

READ MORE

Aunt, Wolper Wamaliza Bifu

LILE bifu lililokuwa bab’kubwa kati ya waigizaji Aunt Ezekiel na Jacqueline Wolper, limezikwa rasmi na sasa wawili hao wanaishi vizuri....

READ MORE

“Uteuzi wa Makonda Gumzo” | Waziri Ummy Azuia Ujenzi Stendi Mwenge-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Yanga Yapindua Meza dhidi ya Mwadui, Yaitungua 3-2

MABINGWA wa kihistoria Tanzania bara Timu ya Yanga imeendelea kuifukuzia Simba katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada...

READ MORE

Gigy: Natamani Mayra Awe Kama Krish

GIFTY Stanford a.k.a Gigy Money; ni msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye mbali na kutoa burudani, pia amekuwa na...

READ MORE

Nafasi za kazi 2 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Land Survey

POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI – (LAND SURVEY) – 2 POST POST CATEGORY(S) LAND MANAGEMENT EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and...

READ MORE

Mido la Nigeria Lakubali Kutua Simba

UNAKUMBUKA ule mchezo kati ya Simba na Plateau wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar? Basi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania leo Juni 21, 2021

  Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 21, 2021. Usipitwe na...

READ MORE

Beka Afunguka Kumwagana Tena Na Mkewe

MSANII anayefanya poa kunako gemu la Bongo Fleva, Bakari Katuti ‘Beka Flavour’ amefunguka juu ya tetesi zinazosambaa kuwa amemwagana tena...

READ MORE

Siri Imevuja… Mrembo Amhenyesha Mondi Miaka 9

“IMENICHUKUAmiaka tisa kumfukuzia!” Hii ni kauli ya supastaa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimzungumzia mrembo wake mpya...

READ MORE

Mahakama Inayotembea Yamaliza Mashauri 1,208

Jumla ya mashauri 1,208 yamesikilizwa na kumalizwa na Mahakama inayotembea ‘mobile court’ huku watu 13,668 wakiwa wamenufaika na huduma zinazotolewa...

READ MORE

Mrithi wa Metacha Yanga Atajwa

RAZACK Siwa, Kocha wa Makipa wa Yanga, amesema kuwa wanaweza kumtumia kipa namba tatu, Ramadhan Kabwili katika mechi zilizobaki ikiwa...

READ MORE

Waziri Ummy Amsimamisha Kazi Mhandisi Mradi wa Ujenzi Mabasi Mwenge

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe.Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi mhandisi...

READ MORE