×

Magazeti ya Tanzania leo Juni 17, 2021

   Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 17, 2021. Usipitwe...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Nunua 👉Gazeti la...

READ MORE

Video: Global Habari Juni 16 – Mkurugenzi Wa IPTL Aachiwa Huru

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kufua Umeme (IPTL), Herbinder Seth, ameachiwa huru baada ya kutakiwa kulipa fedha TSh.Bil 26.9...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wanne wa Bodi

Rais Samia leo Juni 16, 2021 amefanya uteuzi wa Wenyeviti wanne wa Bodi za Wakurugenzi kama ifatavto:_ Fanya kuswipe kusoma

READ MORE

Seth Aachiwa na Mahakama ya Kisutu, Kulipa Bilioni 26.9 -Video

MFANYABIASHARA Habinder Sethi, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Juni 16, kwa sharti la kulipa Sh. 26.9...

READ MORE

Kisa Wimbo, Zuchu, Angella Hapatoshi

KWA raha zake Zuchu kaachia ngoma yake iitwayo Nyumba Ndogo ambayo kaipaka mahadhi ya kisingelisingeli. Sasa chawa wa Angella msanii...

READ MORE

Herbinder Seth Atakiwa Kutokutoka Nchini Kwa Kipindi Cha Mwaka Mmoja

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kufua Umeme (IPTL), Herbinder Seth, aameachiwa huru baada ya kutakiwa kulipa fedha TSh.Bil 26.9 kama...

READ MORE

Video Hot Pot: Harmonize Apatiwa Mrithi Wa Kajala, Wema Amefilisika?

Leo Juni 16 ndani ya Hot Pot utapata udaku wa moto moto kuhusu, Harmonize kupatiwa mrithi wa Kajala, ni kweli...

READ MORE

Oscar Oscar, Ally Mayai Wakatwa Urais TFF -Video

Kamati ya Uchaguzi ya TFF kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Benjamin Karume, leo Juni 16, 2021 imewatangaza waliokosa vigezo vya...

READ MORE

Rekodi za Ronaldo Zatikisa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameendelea kuweka rekodi licha ya umri wake kuonekana kumtupa mkono baada ...

READ MORE

Wanandoa Wafariki Bafuni Afrika kusini

Wanandoa hao wapya Zaheer Sarang na Nabeelah Khan (24) wamefariki dunia kwa shoti ya umeme huko Afrika kusini ikiwa ni...

READ MORE

Mufti Mkuu wa Tanzania Atangaza Kutokuwa na Ibada ya Hijja – Video

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Bin Zuberi leo Juni 16, 2021 ametangaza kuwa hakutakuwa na ibada ya Hijja kutokana...

READ MORE

Breaking News: Viongozi Wa Uamsho Waachiwa Huru

Viongozi wawili kati ya 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed na...

READ MORE

TB Joshua Kuzikwa Kanisani Julai 11 Lagos, Nigeria

Kanisa la Mhubiri kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua limetangaza siku na mahali atakapozikwa. Katika taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Balozi wa Marekani Amtembelea Waziri Prof. Mkenda

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amemwambia Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright kuwa Wakulima wa Tanzania wanahitaji uhakika...

READ MORE

Harmo Awafutia Kesi Kajala na Paula

HATIMAYEstaa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amefuta kesi aliyokuwa amemfungulia mpenzi wake wa zamani, Kajala Masanja pamoja na binti...

READ MORE

Video: Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour – Ndombolo

MWANAMUZIKI Alikiba ameachia video yake Ndombolo akiwa amewashirikisha Abdukiba, K2ga, Tommy Flavour

READ MORE

Injinia Ashusha Mashine Nyingine Yanga

HUKU wakiendelea na usajili wa kimyakimya, Yanga ipo kwenye mipango ya kukamilisha usajili wa kipa kutoka nchini Sudan kwa ajili...

READ MORE

Rais Samia Aandaa Mkeka wa Wakuu wa Wilaya

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema atafanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya hivi karibuni na atawapa nafasi zaidi vijana...

READ MORE

Breaking: Mzee Matata Afariki Dunia

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela...

READ MORE