×

Alikiba Amuita Mondi ‘Sadala’ Amjibu Ishu ya Utajiri Wake- Video

IKIWA ani siku chache baada ya Msanii Diamond Platnumz kuwafokea Forbes kuwa utajiri wake waliouandika kwenye jarida lao si halisi...

READ MORE

Kasesela: Sijazindua kiwanda cha Kutengeneza ‘Sehemu za Siri’

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amekanusha taarifa za yeye kuzindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za siri za mfano....

READ MORE

Nafasi za Kazi Global Publishers – Sales & Marketing

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Championi, Risasi na Amani, na wamiliki...

READ MORE

Majaliwa: Magazeti Manne tu Yaliyofungiwa

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa Magazeti ambayo yamefungiwa kisheria Nchini Tanzania ni...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Spika Ndugai

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Wabunge na Bunge kufuatia kifo cha mbunge wa Jimbo la Konde,...

READ MORE

Video: Tanzania na Uganda Watia Saini Mkataba wa Bomba la Mafuta

RAIS wa Jamhuri ya Uganda,  Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 amefanya ziara ya kikazi ya siku 1...

READ MORE

Video: Katibu Mkuu Wa CCM, Daniel Chongolo, Azungumza Na Wanahabari

KATIBU mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, leo Mei 20, ameitisha mkutano na wanahabari ikiwa ni mara ya kwanza tangu achaguliwe...

READ MORE

Video: Tamko la Waziri wa Kilimo Mkenda Juu Ya Ujio Wa Nzige

 Waziri wa Kilimo, Prf. Adolf Mkenda leo Mei 20, 2021 amesema Tanzania imejipanga kupambana na majanga mbalimbali ikiwemo nzige...

READ MORE

Man United Yamtaka Harry Kane

BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskajer amekiri kuwa anahitaji kusajili straika (Harry Kane), licha ya kumuongezea mkataba Edinson Cavani....

READ MORE

Maamuzi ya Majaliwa Kwa Kigogo wa Tehama Tanesco

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu meneja wa TEHAMA...

READ MORE

Lamine Moro Awekwa Kitimoto Yanga

MABOSI wa Yanga jana Jumatano walimuita nahodha wa timu hiyo, Mghana, Lamine Moro kwa kwa ajili ya kusikiliza shauri lake...

READ MORE

Rais Samia Amteua Brigedia Jenerali Mabele Kuwa Mkuu wa JKT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan amemteua Brigedia Jenerali Rajabu Mabele kuwa...

READ MORE

ASAP Rocky na Rihanna Wanapika na Kupakua

RAPA wa miondoko ya Hip Hop kutoka  Marekani ASAP Rocky ametangaza kwamba yupo katika mapenzi na mwanamuziki nyota wa miondoko...

READ MORE

Taharuki! Fisi Atafuna Mbuzi 17

WAKAZI wa Kata ya Lubaga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya uwepo wa...

READ MORE

Meya, Mkurugenzi Kinondoni Wavurugana Mkutanoni – Video

MKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni na Meya wamefarakana baada ya kuibuka kwa hoja kutoka kwa mmoja wa madiwani ya viongozi...

READ MORE

Serikali Kuhakiki Mpya Usajili Laini za Simu

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema huenda wakaanzisha zoezi jipya la uhakiki wa laini za...

READ MORE

Live: Rais Museveni Awasili kwa Ziara ya Kikazi Nchini

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania leo Alhamisi, Mei 20, 2021 kwa ziara ya kikazi...

READ MORE

Bweni la Shule Lateketea kwa Moto Simanjiro

BWENI la wanafunzi wavulana wa Shule ya Sekondari Ewong’oni wilayani Simanjiro mkoani Manyara limeungua moto na kuteketeza vitu vyote vilivyokuwemo...

READ MORE

IGP Sirro: Marufuku Kuwapiga Faini Hovyo – Video

MKUU wa jeshi la polisi, IGP Simon Sirro, amewataka maereva wa bodaboda kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali za...

READ MORE