×

Breaking: Waziri Apigwa Risasi

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Uganda, Jenerali Katumba Wamala amenusurika kifo baada ya gari lake kushambuliwa kwa risasi na...

READ MORE

‘Sere’ ya DJ Spinall X Fireboy DML

BAADA ya kutoa albamu yake ya tano ‘GRACE’  (kupitia TheCapMusic) na nyimbo nyingi, msanii aliyeshinda tuzo kibao, mtayarishaji na mtunzi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Ziara ya Hospitali ya Mwananyamala -Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 1, 2021 amefanya ziara ya Kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa -Mwananyamala Mkoani...

READ MORE

Wema ampigia debe Mondi

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye pia ni Malkia wa urembo nchini mwaka 2006, amempongeza Msanii wa Bongofleva, Naseeb...

READ MORE

Majaliwa: Tumieni Nishati Mbadala

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara, Taasisi, Mashirika yote ya Serikali na Sekta Binafsi pamoja na vikundi vya uzalishaji zinazotumia...

READ MORE

Simba Watua ‘Kibabe’ jijini Mwanza, Ruvu Wajipange (Picha +Video)

KIKOSI cha Simba SC leo Juni 1, 2021 kimewasili jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya...

READ MORE

Mobetto Afunguka Mondi Kwenda Kwake

Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini na mfanyabiashara Hamisa Hassan ‘Mobetto’ ambaye pia ni mzazi mwenza wa msanii wa...

READ MORE

Apple Music Yamtambulisha Rapa Yaw Tog

KAMPUNI ya Apple Music imemtangaza Yaw Tog kutoka Ghana kama msanii mpya katika programu yake ya ukuzaji wa vipaji vya...

READ MORE

Mondi Amzawaida Gari Mkubwa Fela

  Msanii wa maarufu wa Bongofleva, Naseeb Abdul amemzawadia gari aina ya Honda CRV mmoja wa mameneja wake, Saidi Fella...

READ MORE

Spika Amtimua Mbunge Aliyevaa Suruali ya Kubana Bungeni

  Spika wa Bunge,  Job Ndugai amemtoa katika ukumbi wa Bunge  mbunge wa Momba (CCM),  Condester Sichwale kutokana na kuvaa...

READ MORE

Siku Ya Mazingira Duniani: Exim Yakabidhi Vifaa vya Usafi Dar

Benki ya Exim imekabidhi vifaa vya usafi kwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho...

READ MORE

Bata la Nandy Hatari – Video

Usiku wa kuamkia leo, malkia wa Bongo Fleva, officialnandy amekutanisha baadhi ya wasanii wenzake na kuwapa bata la hatari.  ...

READ MORE

EURO 2020 Kukaribishwa Na Mechi Kali Za Kimataifa

Baada ya kumaliza mishemishe za vilabu na odds kubwa sana, sasa Meridianbet inakupa ushindi wa kibingwa sana katika mechi za...

READ MORE

Rais Samia Ambana Mkandarasi- “Mnaturudisha Nyuma” -Video

RAIS Samia Suluhu, amefanya ziara ya kushtukiza katika jiji la Dar es Salaam, ambapo ameanzia Katika soko la Kariakoo, na...

READ MORE

Mastaa Wawili Waivuruga Simba

KLABU ya Simba, inafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wake mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Perfect Chikwende huku ikipanga kumuongezea mkataba Francis...

READ MORE

Rais Samia Ashtukiza Soko la Kariakoo, Asimamisha Uongozi -Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 1, 2021 amefanya ziara katika la Kariakoo jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Video: Chadema Wakomaa Katiba Mpya, Rungu La Majaliwa Latua Hazina

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE