×

Epl, Laliga Na Bundesliga Kutamatika Wikiendi Hii

Mechi kibao za ligi mbalimbali kutamatika wikiendi hii, hatma ya timu mbalimbali kujulikana. Huku timu nyingine zikitangazwa mabingwa, nyingine zinapambana...

READ MORE

Kaizer Chiefs Baada Ya Kutua Bongo, Wataja Corona Na Mwamuzi

BAADA ya wapinzani wa Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika kutua ardhi ya Bongo wameanza kuwa na wasiwasi juu ya...

READ MORE

Yanga Watoa Kauli Kuhusu Ubingwa VPL

NAHODHA msaidizi wa kikosi cha Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema kuwa licha ya timu hiyo kuwa na matokeo yasiyotabirika katika michezo...

READ MORE

Meya, DED Kinondoni Wamaliza Mgogoro

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam,  Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza kati ya meya manispaa...

READ MORE

Israel Wakubali Kusitisha Mapigano Dhidi ya Palestina

    MAELFU ya Wapalestina wamemiminika mitaani kushangilia makubaliano ya kusitisha mashambulizi kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas, makubaliano...

READ MORE

Simba Yapiga Tizi la Kona, Krosi

KATIKA kuhakisha Simba inafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Kaizer Chiefs katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya...

READ MORE

Zanzibar Yajiandaa Kutoa Chanjo ya Covid-19

Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi amesema kwa sasa Zanzibar inaandaa utaratibu wa kuwawezesha Mahujaji kupata chanjo ya COVID-19 ili...

READ MORE

Mbunge Khatibu Azikwa Pemba

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewasihi Ndugu wa Marehemu Khatib Said Haji (Mbunge wa Konde)...

READ MORE

Video: Majaliwa Ashusha Rungu Tanesco | Utata Meya, Mkurugenzi Kinondoni | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 20, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 20, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wadau wa Elimu Watoa Maoni Yao Juu Ya Elimu Waitakayo

BAADHI ya wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kimataifa wa elimu Bora ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), wametoa maoni...

READ MORE

Mkazi wa Chamwino Asepa na Ndinga Aina ya TATA Ace

  Hadija Iddi mkazi wa Chamwino mkoani Dodoma amekuwa mshindi wa kwanza kuzawadiwa gari aina ya TATA Ace maarufu kama...

READ MORE

Roma, Stamina Wakabidhi Ventilator, Mashuka Hospitali Morogoro – Video

MOJA Stori zilizogusa mioyo ya Watanzania leo Alhamisi, Mei 20, 2021 ni kuhusu wasanii wa kizazi kipya (bongo fleva) Roma...

READ MORE

Alikiba Amuita Mondi ‘Sadala’ Amjibu Ishu ya Utajiri Wake- Video

IKIWA ani siku chache baada ya Msanii Diamond Platnumz kuwafokea Forbes kuwa utajiri wake waliouandika kwenye jarida lao si halisi...

READ MORE

Kasesela: Sijazindua kiwanda cha Kutengeneza ‘Sehemu za Siri’

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amekanusha taarifa za yeye kuzindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za siri za mfano....

READ MORE

Nafasi za Kazi Global Publishers – Sales & Marketing

Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Championi, Risasi na Amani, na wamiliki...

READ MORE

Majaliwa: Magazeti Manne tu Yaliyofungiwa

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa Magazeti ambayo yamefungiwa kisheria Nchini Tanzania ni...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Spika Ndugai

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Wabunge na Bunge kufuatia kifo cha mbunge wa Jimbo la Konde,...

READ MORE