×

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kifo cha Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yahirishwa Kufuatia Msiba wa Naibu Msajili wa Mahakama Kuu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa leo Jumatano, Oktoba 15, 2025,...

READ MORE

Kesi ya Luhaga Mpina Yatupiliwa Mbali, NEC Yapewa Uhalali wa Maamuzi Yake

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, leo Jumatano Oktoba 15, 2025, imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Luhaga Mpina na...

READ MORE

Slotopia Yapanua Wigo wa Michezo Meridianbet, Fursa Mpya kwa Wapenda Ushindi

  Kama wewe ni shabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, basi habari hii ni ya kukufurahisha kuliko zote. Meridianbet wamezindua...

READ MORE

Uwanja wa Sokoine Wafungwa Kutumika Kwa Mechi za Ligi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia Uwanja wa Sokoine uliopo jijini Mbeya kutumika kwa michezo ya Ligi, kutokana...

READ MORE

Aliyekua Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga Afariki Dunia

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa chama cha ODM, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia leo Jumatano, Oktoba...

READ MORE

Kiongozi wa Kijeshi Atangaza Kugombea Urais Gabon

Takriban miaka miwili baada ya kuongoza mapinduzi yaliyomaliza utawala wa familia ya Bongo uliodumu kwa zaidi ya nusu karne, kiongozi...

READ MORE

Selemani Kidunda Apata Cheti cha Ukocha wa Ngumi ya Kimataifa

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Selemani Kidunda, ameongeza hadhi nyingine katika taaluma yake ya michezo baada ya...

READ MORE

Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 Hadi Sasa, Senegal na Ivory Coast Ndani!

Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0...

READ MORE

Walimu Kutoka Taasisi Ya Henan Polytechnic (Hpi) Ya China Watoa Mafunzo Kipawa Chini Ya Mradi Wa Zhangheng

WALIMU wawili fani ya Mechatronics kutoka Taasisi ya Henan Polytechnic (HPI), Du Yichen na Liu Yachuang wametoa mafuzo kwa muda...

READ MORE

Msanii Mkongwe wa R&B, D’Angelo Afariki Dunia Akiwa na Miaka 51

Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Michael Eugene Archer almaarufu D’Angelo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51 baada ya kusumbuliwa...

READ MORE

Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere: Safari Kutoka Magomeni Hadi Uhuru wa Tanganyika – Video

Oktoba 14, 2025 — ni kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeaga dunia Oktoba...

READ MORE

Uhamiaji Yaondosha Raia Wawili wa Kigeni Walioikiuka Masharti ya Viza Tanzania

Idara ya Uhamiaji imesema imelazimika kuwafukuza raia wawili wa kigeni kutoka Tanzania, Dk Brinkel Stefanie mwenye hati ya kusafiria ya...

READ MORE

Benki Ya Exim Yazidisha Dhamira Yake katika Afya Ya Akili Kwa Kukarabati Jengo la Watoto Na Vijana Hospitali Ya Taifa Muhimbili

Dar es Salaam, 15 Oktoba 2025 – Benki ya Exim Tanzania imekabidhi rasmi jengo lililokarabatiwa la Kitengo cha Afya ya...

READ MORE

Jishindia Samsung A26 Mpya Ukiwa Mtumiaji wa Meridianbet

Wakati uliosubiriwa kwa hamu ndiyo huu umewadia sasa. Meridianbet inaleta fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mpira wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 15, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Poshy Queen Aibua Gumzo Mitandaoni Kwa Kumposti Mpenzi Mpya

Mrembo maarufu wa mitandao ya kijamii, Poshy Queen (@poshyqueeen), ambaye pia ni mke wa mfanyabiashara maarufu anayejulikana kama Dalali, ameibua...

READ MORE

Ujenzi wa Daraja la 6 Kwa Urefu Tanzania la Pangani Wafikia Asilimia 74.3

Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 na Barabara unganishi na mchepuko zenye urefu wa Kilomita 25...

READ MORE

Aggybaby Apokea Tuzo Kubwa Nigeria, Apongezwa na Bodi ya Filamu Tanzania

Msanii wa muziki na maigizo, Agness Suleiman Kahamba, maarufu kama Aggybaby, ameshinda Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa Mwaka...

READ MORE

Binti wa Eminem, Alaina Scott, Atangaza Ujauzito

Alaina Scott, binti wa rapa maarufu duniani Eminem, ametangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na mume wake, Matt...

READ MORE