×

Hoteli Ya Mondi Yafungwa, Msimamizi Afunguka

MWAKA mmoja baada ya msanii mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platumz’ kununua hoteli ya kifahari, hoteli hiyo imefungwa. Katika...

READ MORE

Marcelo Azinguana na Zidane, Atolewa Kikosini

MSUGUANO unadaiwa kuwa ni moja ya sababu ya beki wa kushoto Marcelo kuondolewa katika kikosi cha Real Madrid kilichotarajiwa kucheza...

READ MORE

Fahamu Alichokifanya Sabaya Kabla ya Kutumbuliwa

Rais Samia Suluhu Hassan jana Alhamisi Mei 13, 2021 alimsimamisha kazi mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole...

READ MORE

Aussems: Ubora Utaibeba Simba Kwa Kaizer

KOCHA wa zamani wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa ubora wa timu hiyo kwa sasa umekuwa mkubwa kutokana na...

READ MORE

Wikiendi Ya Kukata Na Shoka Katika Ligi Mbalimbali Barani Ulaya

Mechi za kibabe kuchezwa wikiendi hii, timu nyingi kutafuta ubingwa ili kufuzu mashindano ya ligi mbalimbali. Nani atashuka, nani atapanda...

READ MORE

🔴#Live: Diamond Atoa Msaada Nyumbani Kwao Tandale

MSANII Diamond Platnumz, leo Mei 14 ametoa misaada kwa wananchi wa Tandale ikiwa ni sikukuu ya Eid Al Fitri..

READ MORE

Dkt. Mpango Atembelea Kaburi la Magufuli

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizuru Kaburi la aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Awatakia Watanzania Wote Eid Njema

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia Watanzania wote sherehe njema ya Eid Al Fitri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

READ MORE

Mondi Kumwaga Zawadi ya Eid Tandale, Kariakoo

Mkurugenzi wa Makampuni ya Wasafi na Star wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anatarajia Kutoa alichojaliwa ikiwa kama zawadi...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Swala ya Eid, Mnazi Mmoja Dar – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar...

READ MORE

Mwalimu Akutwa Kitandani Akifanya Mapenzi na Wanafunzi Watatu

Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salim Kali, ameagiza kuhamishwa wilayani kwake mwalimu anayetuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi watatu...

READ MORE

Watatu Washikiliwa kwa Tuhuma za Mauaji Moshi

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watatu kwa madai ya kuhusika na tukio la mauaji ya kijana wa bodaboda,...

READ MORE

Vinara wa Wizi Wanaswa Mbeya

KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA MATUKIO YA UVUNJAJI NA WIZIy Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. KELVIN...

READ MORE

Mahakama ya Juu Kenya Yamzuia Rais Kubadili Katiba

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba mageuzi ya kikatiba yanayoungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi mkuu wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 14, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 14, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

McGregor Kinara kwa Mkwanja

Licha ya uwepo wa janga la Virusi Corona ambalo bado limeendelea kuathiri shughuli za michezo mingi duniani kote kwa kukosa...

READ MORE

Rasmi: AJ na Fury Kuzichapa Agosti 14

Sasa ni rasmi pambano la ngumi kati ya mabondia wawili waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury litafanyika Agosti 14 mwaka...

READ MORE

Ferooz Anusurika Kupata Ukimwi

Siku ya Mei 12 ilitoka takwimu mpya za Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ambapo taarifa zinaeleza kuwa watu wa umri...

READ MORE

Guardiola: Klopp Amenifanya Nizidi Kuwa Kocha Bora

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kocha wa Liverpool Jorgen Klopp amemfanya azidi kuwa kocha bora kutokana na changamoto...

READ MORE