×

Simba:Yanga Wanakufa Nne

RAHA ya mchezo wa Simba na Yanga hupatikana nje na ndani ya uwanja, huku nje ni tambo za mashabiki na...

READ MORE

Aishi Manula Apewa Zoezi Maalum Kumzuia Yacouba

MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, juzi Jumanne alikuwa na kibarua kizito mazoezini ambapo alipewa mazoezi magumu kwa...

READ MORE

Lambalamba Watikisa Sumbawanga

Wananchi wa Kijiji cha Mawenzusi, Sumbawanga mkoni Rukwa, wamelalamikia utapeli unaofanywa na waganga wanaojiita lambalamba wanaopita majumbani na kuwaaminisha kuwa...

READ MORE

Gomes Amfungukia Morrison

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wake, Bernard Morrison ni ‘Super Sub’ kutokana na uwezo mkubwa...

READ MORE

Mambosasa: Polisi Tumejiandaa Mechi ya Simba na Yanga

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limejipanga kuimarisha usalama katika mechi ya Watani wa Jadi Simba dhidi...

READ MORE

Forbes Wamtangaza Melinda Gates Kuwa Bilionea Mpya

NI stori iliyowagusa wengi huku wengine wakijiuliza maswali bila kuwa na majibu baada ya ndoa ya tajiri wa Dunia Bill...

READ MORE

Producer Lamar: Majani Hakuwa na Imani na Mimi

Producer wa muziki wa BongoFleva Lamar Fishcrab amesema kabla ya kuwa mtayarishaji wa muziki alikuwa rapa na msanii aliyekuwa anamtazama...

READ MORE

Live: Mbowe Afunguka Siri Yake Na Mwalimu Nyerere | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Chama, Luis Waitikisa Yanga

IKIWA wikiendi hii watani wa jadi Simba na Yanga wanakutana Uwanja wa Mkapa, Dar, rekodi zinaonesha kuwa nyota wawili wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mugalu, Bocco Wakabidhiwa Yanga

UNAAMBIWA Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, hataki kuvurugiwa rekodi na Yanga ambapo tayari ameikabidhi mechi hiyo kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 7, 2021 (Picha +Video)

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 6, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB Yaboresha Bima ya Faraja, Yatambulisha Bima ya Vikundi

  KWA mara nyingine Benki ya NMB imedhihirisha kauli mbiu yake kuwa ipo karibu na wateja, imekuja na maboresho ya...

READ MORE

Job Aandaliwa Kuisimamisha Simba

BEKI chipukizi wa Yanga, Dickson Job ambaye ni ingizo jipya kikosini hapo akitokea Mtibwa Sugar, anaandaliwa maalumu kwa ajili ya...

READ MORE

Rais Ramaphosa ‘Asimamishwa’ Kazi

Ace Magashule, katibu mkuu wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini, ameJIBU hatua ya kutimuliwa kwake chamani kwa kumsimamisha...

READ MORE

Akanusha Mashitaka ya Mauaji ya Kimbari ‘Nilikuwa Mjamzito’

Mwanamke aliyefukuzwa Marekani na kurejeshwa nchini mwao Rwanda, amekanusha mashitaka ya makosa ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 akisema...

READ MORE

Rais Samia Kuzungumza na Wazee wa Dar

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Ummy: Serikali Kuwapata Wenye Ulemavu Mafunzo Ya Ujasiriamali

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea...

READ MORE

Kesi ya Seth na Rugemalira! Majadiliano na DPP Yamefutwa

Aliyekuwa mwanasheria wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege ameondoa rasmi maombi ya kufanya majadiliano ya kuimaliza kesi...

READ MORE

Talaka 5 Zilizogharimu Fedha Nyingi Zaidi Duniani

Mei 3 mwaka huu, bilionea Bill Gates ameingia katika kitabu cha historia baada ya kutangaza kuwa yeye na mkewe, Melinda...

READ MORE