×

Paula Azuia Video Ya Marioo Asema “Vipande Hivyo Havifai”, Marioo Amlalamikia Mtandaoni

Msanii nyota wa Bongofleva, Marioo, amejikuta kwenye mtafaruku wa kimapenzi na mpenzi wake ambaye pia ni mama wa mtoto wake,...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Yupo Tayari Kufanya Mambo Makubwa Kwa Wenye Ulemavu

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye...

READ MORE

Familia Yalia Baada ya Kutupiwa Vyombo Nje Nyumba Yao Jijini Dodoma – Video

Mwanadada Josephine Mosha, amesimulia kisa cha kuhuzunisha cha jinsi familia yao ilivyotupiwa vyombo nje kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi, kisa kikiwa...

READ MORE

Serikali Ya Tanzania Kuendelea Kuwekeza Kwenye Nguvu Kazi Yenye Ujuzi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuwekeza katika kujenga nguvu kazi yenye ujuzi...

READ MORE

Mashabiki Wapagawa! Meridianbet Yaweka Odds Kali Michuano ya Afrika

Barani Afrika, joto la mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 limepanda hadi kiwango cha juu, huku mashabiki wakifuatilia kwa...

READ MORE

Fursa za Kazi: Kisarawe Yatangaza Nafasi za Ajira Mpya Serikalini

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizopatikana baada ya kibali...

READ MORE

Sanchi: Msidanganyike na Maisha Yangu ya Mitandaoni

Mrembo maarufu na msanii wa mitindo, Surraiya Rimoy almaarufu kama Sanchi, ameweka wazi kuwa maisha anayoyaonesha kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Yaadhimisha Ubunifu Na Ushirikishwaji Kupitia GirlCode Hackathon 2025

Mkurugenzi wa Kitengo cha Teknolojia wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Emanuel Mwinuka ( wa nne kushoto) akizungumza na washiriki...

READ MORE

Mjali Mwenza Wako, Naye Atakujali!

RAFIKI yangu, katika kipindi hiki ambacho kuna sintofahamu nyingi, kutiliana shaka na hata kutengana, ni muhimu kujenga hulka ya kujaliana...

READ MORE

Bilionea wa Nigeria Afunga Ndoa na Mke wa 19, Atetea Ndoa za Wake Wengi

Delta, Nigeria — Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 13, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mawaziri Waimwagia Pongezi Nmb Kwa Utendaji Wake

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, na Waziri wa...

READ MORE

Rc Senyamule Aagiza Ujenzi Wa Shule Jumuishi Bahi Ukamilike Kwa Wakati

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametaka jengo la Shule Jumuishi Bahi kukamilishwa kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa...

READ MORE

Macron Amrejesha Sébastien Lecornu Kama Waziri Mkuu wa Ufaransa

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amemteua tena Sébastien Lecornu kuwa Waziri Mkuu, hatua iliyowashangaza wengi baada ya kiongozi huyo kujiuzulu...

READ MORE

Video: Polisi Wafunguka Tukio la Kutoweka kwa Padri wa Jimbo Kuu la Songea

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu...

READ MORE

Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zazidi Kutoa Pesa Meridianbet

Je unajua kuwa Jumamosi ya leo unaweza ukajipatia maokoto ya maana kwenye mechi mbalimbali zinazoendelea za kufuzu Kombe la Dunia?...

READ MORE

Video: Baba Alalamika Baada ya Mtoto Wake Kudaiwa Kubakwa Bagamoyo

Baba mmoja aitwaye Revocutus Dions, mkazi wa Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, amefika katika ofisi za Global TV akilalamika...

READ MORE

Polisi Watoa Onyo Kuhusu Kutumia Mitandao Vibaya Kueneza Uhasama na Uzushi

Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia msemaji wake DCP David Misime limesisitiza kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya Kijamii pamoja...

READ MORE

Rais Tshisekedi Awataka Waasi wa M23 Kujiondoa Mara Moja Mashariki mwa DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi, ametoa wito kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuwaamuru waasi...

READ MORE

TFF Yatangaza Orodha ya Awali ya Wagombea Uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB)

Dar es Salaam, Oktoba 10, 2025 — Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetangaza...

READ MORE