×

Carlinhos, Saido Kucheza Pamoja Dhidi ya Biashara

KWA mara ya kwanza, viungo washambuliaji wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Muangola, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’ leo wanatarajiwa kucheza...

READ MORE

Ally Kamwe: Nafikiri Rayvanny Hajui Kwanini Anagombana Na Harmonize

RAYVANNY hajui kwa nini anagombana na Harmonize. Na bahati mbaya wanaojua sababu wamegoma kumwambia. Wako kimya. Ni kama ametupiwa jezi...

READ MORE

Urusi Yatimua Wanadiplomasia 10 wa Marekani

URUSI imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10...

READ MORE

Tshabalala Kutua Yanga, Kupewa Mkataba Mnono

NGUMU kuamini lakini ndiyo hivyo, Yanga imetajwa kuwa iko mbioni kumsajili beki wa kushoto wa Simba, Hussein Mohammed ‘Tshabalala’.  ...

READ MORE

Othman: Nitashirikiana na Rais Mwinyi Masheikh wa Uamsho Watendewe Haki

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema yupo tayari kushirikiana na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Wamkumbuka Magufuli kwa Aiyoifanyia Tanzania

Baadhi ya viongozi katika kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa (UN) uliofanyika jana Ijumaa Aprili...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya, Majina Haya Hapa

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wasaidizi wake kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo wa uchumi, siasa, sheria na...

READ MORE

Ratiba Ya Ligi Kuu Bara Leo Aprili 17

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Aprili 17 inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu kusaka poini tatu muhimu. Coastal...

READ MORE

Mkurugenzi Aanguka Baada ya Chanjo ya AstraZeneca Kusitishwa

KIONGOZI wa juu wa Shirika la Dawa nchini Denmark ameanguka na kupoteza fahamu wakati Serikali ikitangaza kusitisha kuwapa wananchi wake...

READ MORE

Panga La Maana Linapita Yanga

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa upo kwenye mipango madhubuti ya kufanya usajili mkubwa katika dirisha la usajili la...

READ MORE

Meridianbet Tumekuletea Shindano Jipya La Cash Parade!

Promosheni ya Cash Parade Kupitia Meridianbet, tumekuletea promosheni mpya inayoitwa Cash Parade. Hii ni promosheni itakayoendeshwa kwa njia ya shindano....

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 17, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 17, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wakamatwa kwa Kula Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

WATU wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi...

READ MORE

Kampuni Lesotho Yaruhusiwa Kuuza Bidhaa za Bangi Ulaya

Kampuni yenye makao yake nchini Lesotho imeruhusiwa kukuuza mazao ya bangi kwa ajili ya matumizi ya dawa kwa Muungano wa...

READ MORE

Mrundi Apewa Tuzo kwa Kutengeneza Pombe Bora ya Mwaka

Raia wa Burundi aamejipatia medali ya dhahabu baada ya kushinda tuzo la mtu aliyetengezeza pombe bora na tamu zaidi ya...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Ilikuwa Miaka Mitano ya Kutokulala Kuisemea Serikali

Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, leo amekabidhi kijiti hicho kwa Ndugu Grayson Msigwa aliyeteuliwa hivi karibuni na...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 16, 2021 amekutana na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Apple Music Yafanya Jambo Wasanii Bora wa Gospel Afrika

KAMPUNI ya muziki ya Apple imezindua kampeni yake inayokwenda kwa jina la Spirits Rejoice, yenye lengo la kusherehekea kazi za...

READ MORE

Yanga Yafanyia Kazi Mapungufu Yake, Sasa ni Kipigo Kila Nayekuja – Video

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, Jumamosi iliyopita aliiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara...

READ MORE