×

Dkt. Hosea Ashinda Urais wa TLS

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk. Edward Hosea ametangazwa mshindi wa kiti cha...

READ MORE

Sven Aidai Simba Mil 102, Aipeleka FIFA

Ni miezi mitatu baada ya kuondoka kwenye klabu ya Simba SC, Sven Vandenbroeck ameishtaki klabu hiyo kwa Shirikisho la soka,...

READ MORE

Majaliwa Asisitiza: Dodoma ni Makao Makuu – Video

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao...

READ MORE

Serikali Yaagiza Televisheni Kufungwa Mahospitalini

Serikali imewaagiza Waganga Wakuu wote nchini kuweka Televisheni na vipeperushi katika vituo vya kutolea huduma za afya hususani majengo yanayowahuduma...

READ MORE

Ruto Ajitetea Kupata Chanjo ya Sputnik-V Badala ya AstraZeneca

Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wake wa kutumia chanjo ya Sputnik-V badala ya AstraZeneca kama serikali yao...

READ MORE

Dkt. Abbas Akabidhi Ofisi kwa Msigwa – Video

Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo Aprili 16, 2021 amekabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

READ MORE

Baba Levo Alimwa Faini Mil 1 Basata, Naye Ataka Bil 6 kwa Harmonize

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limempiga faini ya Tsh milioni moja msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo kwa kusambaza...

READ MORE

Tabasamu: Hamtaki Kuajiri Walimu, Futeni Mtaala wa Ualimu

Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo...

READ MORE

Watumishi 90,000 Kupandishwa Madaraja

Serikali inatarajia kupandisha madaraja watumishi wa Umma 90,000 nchi nzima lengo likiwa ni kutimiza takwa la kisheria linalotaka watumishi waliokidhi...

READ MORE

Bayern Munich Kufumuliwa Juu Chini

KLABU ya Bayern Munich inatarajiwa kuhusika katika kufanya mabadiliko makubwa klabuni hapo mara baada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi...

READ MORE

AUBAMEYANG Augua Malaria

Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ametibiwa hospitalini baada ya kuugua malaria wakati akiwa katika majukumu ya kimataifa na Gabon.  ...

READ MORE

Sakata la Mwakalebela, TFF Giza Nene

LICHA ya kukutana na kufanya kikao kizito kati ya viongozi wa Klabu ya Yanga na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),...

READ MORE

Hawa Ndio Watu 30 tu Watakaomzika Prince Philip

  WATU 30 pekee ndiyo watakaoshiriki mazishi ya aliyekuwa mume wa malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip.    ...

READ MORE

Serie A, Epl, Ligue 1 Na Bundesliga Kuchangamsha Wikiendi Hi

Ulimwengu wa soka unaendelea kunoga kwa michezo kadha wa kadha kuchezwa wikiendi hii. Ligi soka barani Ulaya katika ubora wake....

READ MORE

Wawa: Hakuna wa Kuzuia Ubingwa Simba

BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa ameibuka na kuweka wazi kuwa kutokana na ubora wao kwa sasa...

READ MORE

Safari ya Lupita Nyong’o Serengeti Yazua Gumzo Kenya

MUIGIZAJI maarafu kutoka Hollywood, Marekani Lupita Nyong’o (38), amezua gumzo nchini Kenya baada ya kuitembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti...

READ MORE

Lugangila Alia na Ofisi ya Waziri Mkuu “Tuambieni Mtafanya Nini?”

MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) kupitia Kundi la Asasi za Kiraia nchini (NGOs) Mhe. Neema Lugangira ameiomba Serikali iikaribishe Sekta...

READ MORE

Amuua Mumewe Siku 14 Baada ya Ndoa

  Mwanamke aitwaye Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai...

READ MORE

Marekani Yaiahidi Neema Tanzania

MAREKANI imeahidi kushirikiana na Tanzania kukuza mitaji na kuvutia uwekezaji kutoka nchini humo ili kuchochea zaidi uchumi na huduma za...

READ MORE