×

Meya wa Dar Afunguka Jiji Jipya Linavyotofautiana na Jiji la Zamani – Video

MEYA mpya wa Jiji la Dar es Salaam, zamani Halmashauri ya Ilala amesema mipaka ya jiji hilo linaishia kwenye mipaka...

READ MORE

Mangi Meli: Mtemi wa Wachaga Aliyenyongwa Kikatili na Wakoloni – Video

HISTORIA ya Kiongozi wa Wachaga, Mangi Meli, aliyetawala Moshi kwenye miaka ya 1891 mpaka 1900 ambapo wakoloni wa Kijerumani walichukizwa...

READ MORE

Davido Awapongeza Burnaboy, Wizikid Tuzo za Grammy

Davido ameweka tofauti zake na Burna Boy pembeni, ampongeza kwa ushindi wake kwenye tuzo za Grammy mwaka huu. Pia hajamuacha...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 16, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 16, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

NMB Yawapokea Rasmi Waliokuwa Wafanyakazi wa Benki ya Kibiashara ya China

Benki ya NMB imewapokea rasmi waliokuwa wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya China (China Commercial Bank) ambayo umiliki wake ilikabidhiwa...

READ MORE

Simba Yatangaza Vita na Al Merrikh kwa Mkapa, Wawa Nje- Video

KOCHA wa  Simba Didier Gomes, Amesema kuwa timu hiyo itapambana kufa na kupona kuhakikisha kesho inaondoka na pointi tatu muhimu...

READ MORE

Vita Ndani ya Uwanja Sasa Inazidi Kutia Mashaka

MZUNGUKO wa pili unaambiwa vita ni kila mahali inazunguka na inaishi kabisa mpaka unajiuliza mara mbilimbili hii ni vita kweli...

READ MORE

Simba Kupewa Pointi 3 za Al Merrikh Ipo Hivi

BAADA ya uongozi wa Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kuandika barua kwa Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) kuomba...

READ MORE

Hassan Nassoro: Ninapiga Mashuti 30 Kila Siku

HASSAN Nasorro, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mipira huru mara 30...

READ MORE

Mwambusi Akabidhiwa Yanga Mazima

IMEELEZWA kuwa Juma Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga atakiongoza kikosi hicho kwenye mechi zote ambazo zimebaki ndani...

READ MORE

Pele Amnyoshea Mikono Ronaldo, Avunja ‘Rekodi’ Yake

Gwiji wa zamani wa soka Pele amempongeza Cristiano Ronaldo baada ya mshambuliaji huyo wa Ureno kufunga mabao matatu(hat-trick) dhidi ya...

READ MORE

Shigongo Ashuhudia Kambi ya Wavuvi Ilivyotekea, Mmoja Afariki, Mamia Wapoteza Makazi

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe Eric Shigongo, amewatembelea wahanga wa moto kambi ya uvuvi ya Migongo iliyoko...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kusambaza ‘Uvumi wa Kuugua Rais Magufuli’

WATU wanne wamekamatwa katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kwa madai ya kusambaza habari za uvumi kwenye mitandao ya kijamii kuwa...

READ MORE

🔴#FT: Kenya 2 – 1 Tanzania – Mechi ya Kirafiki

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya...

READ MORE

Museveni Amshutumu Bobi Wine Kuiba Kura

KWA mara ya kwanza Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekituhumu chama cha siasa cha NUP kwa kuhusika na vitendo vya...

READ MORE

Simba Yatua AS Vita Kumsaka Beki Kitasa

BEKI wa kulia wa AS Vita, Djuma Shabani amekiri kuwa ni kweli alifuatwa na viongozi wa Simba ili kuangalia uwezekano...

READ MORE

Makamu wa Rais Samia Aanza Ziara Tanga

    Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kikazi ya...

READ MORE

Bobi Wine Akamatwa Polisi, Waandamanaji Wafyatuliwa Mabomu

MWANASIASA wa Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa chama cha upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa katika...

READ MORE

Mafunzo ya Matumizi Salama ya Teknolojia ya Nyuklia Yatolewa Kitaifa

  Tume ya  Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inaendesha mafunzo ya kitaifa juu ya matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia...

READ MORE