×

Wasanii Wekezeni Kwenye Kazi Bora Si Kiki – Dkt Abbasi

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa msimamo kuwa Serikali haitapoteza muda na...

READ MORE

Zitto: Mwamba wa Demokrasia Umeondoka – Video

KIONGOZI  Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, alikuwa nguzo...

READ MORE

Mobetto, Rayvanny Waachiwa kwa Dhamana

  KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona, amesema ni kweli wasanii Hamisa Mobetto na Rayvanny walikuwa...

READ MORE

Ifahamu Historia ya Hayati Maalim Seif

Maalim Seif Sharif Hamad alizaliwa Okotba 22, 1943 na alipitia Shule za Uondwe na Shule ya Wavulana ya Wete Kisiwani...

READ MORE

Magufuli Amlilia Maalim Seif, Atangaza Siku 3 za Maombolezo

RAIS John MagufuliI amepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

Breaking: Maalim Seif Afariki Dunia, Maombolezo Siku 7

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad,  aliyefariki leo Jumatano...

READ MORE

Dangote: Hatuna Mpango wa Kufunga Kiwanda Tanzania

Uongozi wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Tanzania kilichopo Mkoani Mtwara jana Febuari 16, 2021 kimekanusha taarifa za uvumi wa...

READ MORE

Tcra Wazipiga Faini Kampuni Za Simu, Watoa Siku 90.

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni za Simu za Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel kwa kutotoa huduma zenye ubora....

READ MORE

Zuma Kushtakiwa kwa Kudharau Mahakama

MWENYEKITI wa tume ya uchunguzi kuhusu madai ya rushwa yanayomkabili aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amesema anataka kiongozi...

READ MORE

Al Ahly Yaitungua El Merreikh 3-0 (Video)

  MABINGWA Watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Al Ahly, ambao wapo kundi moja na  Simba SC  wakiwa nyumbani ...

READ MORE

Rekodi Zaibeba Yanga SC Dar leo

JESHI la Mrundi Cedric Kaze leo linatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuvaana na Kagera Sugar...

READ MORE

Namungo, Waangola Mechi Zote Kuchezwa Tanzania

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya CD 1 Agosto...

READ MORE

Nafasi ya Kazi NBC Bank, Head of Application Support

Head of Application Support NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 17, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 17, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Rais JPM Atengua Uteuzi wa DED Kinondoni

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Uteuzi wake...

READ MORE

Gomes Ataja Kitakachoibeba Simba Kimataifa

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amefunguka kuwa kama watacheza kwa nidhamu na kupambana pamoja kama walivyofanya kwenye...

READ MORE

Pichaz: Lulu na Majizzo Walivyofunga Ndoa

MSANII maarufu wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunga ndoa na mchumba wake ambaye ni CEO wa EFM na TVE,...

READ MORE

17 Mbaroni Wakituhumiwa Kuua, Kubaka na Kupora

  POLISI mkoani Mwanza inawashikilia watuhumiwa 17 wa makosa mbalimbali yakiwemo mauaji ya familia, ubakaji, ukatili wa kijinsia, uporaji na...

READ MORE