×

Magufuli Azindua Ubungo Interchange, Dar – Video

RAIS John Magufuli amefanya uzinduzi wa daraja la juu la Ubungo lililopewa jina la aliyekuwa katibu mkuu kiongozi, Balozi John...

READ MORE

Mwili wa Balozi wa Italia Waagwa DRC

GAVANA wa Kivu Kaskazini, Carly Nzanzu, na Mshauri Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameongoza maafisa...

READ MORE

Mtandao wa Spotify Kuzinduliwa Afrika Mashariki

MTANDAO  wa Spotify unatarajiwa kuzindua huduma zake katika masoko 85 mapya katika hatua ambayo itawafikia watu zaidi ya bilioni moja....

READ MORE

Tanzia: Waziri Sonyo Afariki Dunia

MWIMBAJI nyota wa muziki wa dansi, Waziri Sonyo amefariki dunia jana saa 3 usiku Feb 23, 2021 baada ya kutoka...

READ MORE

Tiger Woods Anusurika Kifo Ajalini

MCHEZAJI maarufu wa Golf, Tiger Woods, amepata ajali baada ya gari lake kupinduka wakati akiendesha mwenyewe nje kidogo ya jiji...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Februari 24, 2021 – Video

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 24, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Tanzania, Sauzi, Nigeria… Marufuku Kuingia Oman

WASAFIRI wanaoingia Oman kutoka nchi 10 wamepigwa marufuku  kuingia nchini humo. Nchi zilizopigwa marufuku ni Tanzania Afrika Kusini, Lebanon, Sudan,...

READ MORE

Tonombe: Tulieni, Bado Mapambano Yanaendelea

KIUNGO Mkabaji wa Yanga, Mkongomani, Mukoko Tonombe, ameibuka na kutamka kuwa mapambano bado yanaendelea hadi mwisho wa msimu wawe mabingwa.Hiyo...

READ MORE

Simba Yaongoza Kundi Ligi Ya Mabingwa Afrika, Yaipiga Al-Ahly

SIMBA inaongoza msimamo wa kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo Februari 23, 2021 kufikisha pointi sita baada...

READ MORE

Spoti Xtra Lamwaga Tiketi za Simba vs Al Ahly

TIMU ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group ambao ni wachapishaji wa magazeti namba moja kwa habari za michezo kupitia...

READ MORE

Mpango Amwaga Chozi Akitoka Hospitali -Video

WAZIRI  wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, leo Februari 23, 2021, ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini...

READ MORE

Amuua Mwanamke Aliyemkuta Akinywa Pombe na Mumewe

DAYANE RAFEELLE de SILVA ROGRIGUES (31) anashikiliwa na polisi  huko Caera, Brazil, kwa kumwua mwanamke  mmoja aitwaye Djaiane Batista Barros...

READ MORE

Video: MO DEWJI Alivyotinga UWANJANI Mechi ya SIMBA vs AL AHLY

 GLOBAL TV imefika mapema katika uwanja wa Mkapa jijini Dar kwa ajili ya kushuhudia mtanange wa kukata na shoka...

READ MORE

Askofu Malekana: Matamko Yanatengeneza Taharuki

Imeelezwa kuwa matamko na nyaraka zinazotolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini inapaswa yatolewe na wizara ya afya kwa sababu...

READ MORE

Taasisi Nne Kuchunguza Shule Ya Don Bosco – Tanga

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu amesema ataunda timu ya wataalamu...

READ MORE

Mazishi ya Mume wa Vicky Kamata – Video

  MWILI wa Mume wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile,...

READ MORE

UDART Yatoa Mwongozo wa Kujikinga na Corona kwa Abiria Wake

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa Mwongozo kwa Watumiaji wa Magari ya Mwendokasi ili kujikinga...

READ MORE

Harmonize: Mwana Kulitafuta, Mwana Kulipata

MWANA kulitafuta, mwana kulipata! Ndiyo kauli inayomfaa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ Harmonize ambaye ametoa hoja ambayo imekutana...

READ MORE

Balozi wa Italia Alivyouawa DR Congo

  WIZARA ya mambo ya nje ya Italia imesema kuwa balozi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameuawa katika...

READ MORE