×

Balozi wa Italia nchini Congo Afariki Katika Shambulio

    BALOZI wa Italia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Luca Attanasio,  na watu wengine wawili, wamefariki katika...

READ MORE

Tshabalala: Al Ahly Tutawafunga Nje Ndani

IKIWA kesho Jumanne Simba wanakwenda kucheza mchezo wao wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya National Al Ahly,...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kuzusha Vifo vya Corona

  POLISI Mkoa wa Pwani inawashikilia watu wanne waliokamatwa ndani ya mkoa huo wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii kueneza uvumi...

READ MORE

Ndege ya Marekani Yadondosha Mabaki ya Injini

  NDEGE ya Boeing ililazimika kudondosha mabaki ya injini yake katika eneo la makazi mjini Denver, Marekani, baada ya injini...

READ MORE

Meridian Bet Yadhamini Mafunzo ya Lishe Bora Dar

  KAMPUNI ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imepanua wigo katika kusaidia jamii na jana imesaidia kufanikisha mafunzo ya lishe...

READ MORE

RC Chalamila: Matangazo ya Vifo Mtaani, Tabia Hiyo Ife

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amepiga marufuku kufanyika kwa shughuli za mazishi kwa kutumia magari ya matangazo ya...

READ MORE

Maseneta Ufaransa Waipongeza Tanzania

WAJUMBE wa Bunge la juu la Ufaransa (Seneti) limeipongeza Tanzania kwa kuwa kinara wa masuala ya utulivu,amani,ulinzi na usalama katika...

READ MORE

Waarabu wa Al Ahly Walia na Joto la Dar

WAPINZANI wa Simba kwenye mechi yao ya kimataifa inayotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa Al Ahly, Waarabu wa Misri wamesema...

READ MORE

Ajali: United Airlines Yasitisha Safari za Boeing 777

SHIRIKA la ndege la United Airlines la Marekani limesema linasitisha safari za ndege zake 24 aina ya Boeing 777 baada...

READ MORE

Kisa Urais wa Marekani, Kim, Kanye Wamwagana

KANYE WEST anaamini sababu za Kim Kardashian kudai talaka ni kutokana na yeye kuutaka Urais wa Marekani mwaka 2020. Juzi...

READ MORE

Kaze: Matokeo Yamenifanya Nijue Tabia za Watanzania

CEDRIC KAZE, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale wanaoibeza kazi yake waendelee kufanya hivyo kwa kuwa yeye anajua kile...

READ MORE

Watu 6 Watuhumiwa kwa Uvamizi wa Bunge Marekani

WATU sita wa kundi la Oath Keepers nchini Marekani wamefunguliwa mashtaka kwa kupanga uvamizi kwenye jengo la Bunge la nchi...

READ MORE

Majaliwa Akabidhi Magari ya Polisi Lindi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amekabidhi magari mawili kwa ajili ya matumizi ya Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi yatakayowezesha askari...

READ MORE

Wilaya Ya Ulanga Na TADB Kuwekeza Kilimo Cha Karanga Mti

MKUU wa wilaya ya Ulanga Mhe. Ngollo Malenya amepokea ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania TADB uliongozwa na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la Ijumaa...

READ MORE

Wafanyakazi 27 Ikulu Wakutwa na Corona

MAOFISA 27 wa Ikulu ya Sudan Kusini wamethibitika kuambukizwa #CoronaVirus ambapo wamelazimika kuwekwa karantini.   Msemaji wa Ikulu, Ateny Wek...

READ MORE

Apigwa faini kwa kumkashifu mkongwe wa vita vya pili vya dunia

Mahakma nchini Urusi imetoa uamuzi wa kesi ya pili iliyokuwa ikimkabili kiongozi wa upinzani Alexei Navalny.   Navalny, alipatikana na...

READ MORE

Moto Wateketeza Mabweni Shule ya Sangiti

WANAFUNZI 180 katika shule ya sekondari ya wasichana Sangiti iliopo kata ya Kirima Kibosho wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika...

READ MORE

WHO Yaomba Takwimu za Corona Tanzania

  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema shirika lake halijapokea taarifa kutoka #Tanzania kuhusu...

READ MORE

Breaking News: Profesa Benno Ndulu Afariki Dunia

  ALIYEWAHI kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu,...

READ MORE