×

Maporomoko ya Matope Yaua Watu 50

Flores Mashariki mwa Indonesia ni miiongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi na mafuriko hayo Watu wapatao 50 wamefariki kufuatia mafuriko na...

READ MORE

Samia Atengua Uteuzi Mkurugenzi TPDC Kabla ya Kumwapisha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametengua uteuzi wa Thobias Mwesiga Richard kuwa Mkurugenzi mpya wa Shirika la Maendeleo...

READ MORE

Muhimbili Wamjibu Kigwangalla ‘Hatuondoi Nyungu’

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema haitaondoa huduma ya kujifukiza Hospitalini hapo kama ilivyoshauriwa na Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi...

READ MORE

Gomes Ahamishia Hasira Zake Yanga

LICHA ya kwamba jana alikuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Mwambusi Ataja Mambo Manne Yanga

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kuonesha moto ndani ya timu hiyo baada ya kuwapa wachezaji wake mambo...

READ MORE

Niyonzima Afafanua Ishu ya Kustaafu Soka

KIUNGO wa Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, amesema hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea Rwanda kama ambavyo...

READ MORE

Dotto James Ang’olewa Wizara ya Fedha, Msigwa Ahamishwa Ikulu

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumapili Aprili 4, 2021 amefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara, naibu makatibu wakuu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 5, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 4, 2021. Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Kigwangalla Ataka ‘Nyungu’ ya Muhimbili Ivunjwe

  Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate...

READ MORE

Mwamnyeto Jembe la Kazi Yanga

LICHA ya makosa ambayo amekuwa akiyafanya ya mara kwa mara ndani ya uwanja, beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto,...

READ MORE

Wachezaji Yanga Wachekelea Ujio wa Manji

WAKATIaliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akitajwa kurejea kwenye klabu hiyo, wachezaji wa zamani wa timu hiyo wamefunguka kuhusiana na...

READ MORE

Rapa DMX Ametolewa Mashine za Kupumulia

MSANII nguli wa miondoko ya kufoka foka (Hip Hop) kutoka Marekani, Earl Simmon maarufu kama DMX ametolewa mashine za kupumulia...

READ MORE

KMC Waanza Kuiwinda Yanga SC

KIKOSI cha KMC yenye maskani yake Kinondoni jijini Dar, kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga ambao unatarajiwa...

READ MORE

Njia za Kutoka Jela Shamim Mwasha na Mumewe

NJIA za kumuwezesha Shamim Mwasha na mumewe Abdul Nsembo waliohukumiwa kifungo cha maisha gerezani Machi 31, mwaka huu ni mbili.Ya...

READ MORE

Mameneja Wa Tanesco Wanaokatakata Umeme Kubebeshwa Virago

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao hawatawaunganishia umeme kwa wateja waliolipia...

READ MORE

TCRA: Vifurushi Vinaweza Kutumia Siku Nne Kurejea

MENEJA wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, James Kilaba amesema vifurushi vilivyokuwa vinatumika awali vinaweza kutumia hadi siku nne kurejea....

READ MORE

Makamu Wa Rais Mpango Ahudhuria Ibada Ya Pasaka

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, amezungumza na Waumini wa Dini ya Kikristo...

READ MORE

Polisi Tanzania Yasimamisha Watano

UONGOZI wa timu ya Polisi Tanzania, umetangaza kuwasimamisha wachezaji watano kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu.   Taarifa rasmi...

READ MORE

Namungo Vs Nkana Leo… Mkishindwa Semeni Tuwasaidie

HUU ni mchezo wa kufa au kupona kwa Namungo katika kusaka pointi tatu mbele ya Nkana FC baada ya kupoteza...

READ MORE