×

“Hatuwezi Kuwa Mateka wa Suala” – Waziri wa Kilimo

SERIKALI imeutaka uongozi wa kiwanda cha sukari Kilombero kuhakikisha inaharakisha mchakato wa uwekezaji ili kuongeza uwezo wake wa kuchakata miwa...

READ MORE

Ngorongoro Heroes Vitani Leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, leo Jumanne inatarajiwa kushuka dimbani kwenye mchezo wa kwanza...

READ MORE

Apigwa Risasi ya Mguu Akidhaniwa Nyani

  TATU Bakari Hassan, mkulima mwenye miaka 55 mkoani Pwani, amejeruhiwa mguu wake wa kulia kwa kupigwa risasi akiwa shambani...

READ MORE

Kaze Awakomalia Mastaa Wake Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amewataka wachezaji wake kuhakikisha wanaendeleza wimbi la kutopoteza mchezo katika mechi zote za mzunguko...

READ MORE

Upepo Mkali Waondoka na Nyumba za Familia, Majengo ya Shule

  FAMILIA sita katika Kijiji cha Namanguli Kata ya Luchili, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma, zimekosa makazi baada nyumba zao kuezuliwa...

READ MORE

Simba Sc Yaanika Mbinu Walioitumia Kuiua AS Vita

  OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, amesema ushindi ambao timu yao iliupata katika mechi ya kwanza ya Kundi...

READ MORE

Kasi ya Ujenzi Wa Vituo Jumuishi Yamkosha Waziri wa Katiba na Sheria

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ameupongeza Uongozi wa Mahakama ya Tanzania kwa ubunifu mkubwa na matumizi...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kusafirisha Wahamiaji Haramu

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani, limemkamata dereva wa gari lenye namba za usajili T 703 DTR aina ya Hiace,...

READ MORE

Barcelona Kukiwasha Na PSG Leo Ligi Ya Mabingwa

Ligi ya Mabingwa inarejea Jumanne hii hatua ya 16 Bora, Barcelona anaialika Paris Saint German. Kupitia Meridianbet Barcelona amepewa Odds...

READ MORE

Ebola Yaripotiwa Kuingia Guinea

Guinea imeripoti maambukizi ya ugonjwa wa #Ebola ambapo watu wanne wameripotiwa kufariki dunia hadi sasa. Idara ya Afya ya Taifa...

READ MORE

Watu Zaidi ya 60 Wafariki Dunia Ajali ya Boti

WATU zaidi ya 60 wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika mto Congo nchini Jamhuri...

READ MORE

Kachero Adai Alikataa Hongo Kesi Dawa za Kulevya

  SHAHIDI wa tano wa upande wa mashtaka katika kesi ya ulimaji wa dawa za kulevya aina ya bangi na...

READ MORE

Waislamu Watangaziwa Mfungo Siku 3

  KATIBU wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Hassan Chizenga, ametaka waumini wa dini ya Kiislamu nchini  kufunga kwa siku tatu...

READ MORE

Mwanafunzi Mbaroni Akidaiwa Kumlawiti Mwenzake

MWANAFUNZI (13) wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Maguja anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake...

READ MORE

Askofu Mwamakula Akamatwa na Polisi

POLISI Mkoa wa Dar es Salaam imemkamata Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula wa Kanisa la Uamsho la Moravian kwa kosa la...

READ MORE

Zari Ampa Jina Jipya Mwanaume Wake Siku ya Wapendanao

HISTORIA inaonesha kwamba, msimu wa Siku ya Wapendanao (Valentin’es Day), mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, huwa hakosi jambo...

READ MORE

Ulega Asisitiza Matumizi ya Kiswahili Bidhaa za Ndani na Nje

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wazalishaji wa bidhaa za ndani kuandika kwa Kiswahili...

READ MORE

Nafasi ya Kazi YARA Tanzania, Commercial Manager

Date posted:  Feb 15, 2021 Location:  Dar Es Salaam, TZ Job Function:  Sales & Marketing  Job Type:  Permanent Job Requisition...

READ MORE

DED Korogwe Afariki Dunia

MKURUGENZI wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2021, Hospitalini jijini Dar...

READ MORE

Ukatili! Anayedaiwa Kuuwa Wanawake Akamatwa Arusha – Video

JESHI la Polisi Mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa wa mauaji ya wanawake tisa waliouwawa kikatili maeneo ya Kisongo nje kidogo ya...

READ MORE