×

Zuchu – Sukari (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo, Zuchu ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sukari. Isikilize hapa kwa mara ya kwanza.

READ MORE

JPM Atuma Salamu za Rambirambi kwa Mbunge Aliyefariki

RAIS John  Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na Spika wa Bunge, Job Ndugai, kufuatia kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

Shigongo Amwaga Vifaa vya Shule kwa Watoto Wenye Mahitaji – Video

  OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, kupitia kamati yake ya kuhamasisha wazazi kupeleka watoto shule,...

READ MORE

Metacha Afichua Jambo Yanga

METACHA Mnata, kipa namba moja ndani ya Yanga, amesema kilicho nyuma ya mafanikio yake ndani ya kikosi hicho ikiwa ni...

READ MORE

Kahata Anusurika Panga Simba, Lampitia Morrison

UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Francis Kahata kuendelea kubaki Simba, huku Mghana, Bernard Morrison akitajwa kutemwa...

READ MORE

Trump Aibua Mapya, Sasa Kuanzisha Chama Chake Kipya

  RAIS wa Marekani aliyemaliza muda wake, Donald Trump anakusudia kuunda chama kipya cha siasa kitakachoitwa Patriot Party, baada ya...

READ MORE

Kenya Kupokea Dozi Milioni 24 za Chanjo ya Corona

Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa Corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo kikuu cha...

READ MORE

Sloti ya Lucky Betting Shop | Mpya Kwenye Kasino ya Meridianbet

Umewahi kubashiri kwenye michezo mtandaoni? Ubashiri wa michezo ni maarufu sana kwa mamilioni ya watu kote duniani. Hili ndilo dhumuni...

READ MORE

Tanzia: Mbunge wa CCM Afariki Dunia

MBUNGE  wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla, amefariki dunia katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa...

READ MORE

Mama Mbaroni Akidaiwa Kumuua Mtoto wa Mumewe – Video

  POLISI Wilaya ya Kinondoni inamshikilia, Pendo Carlos, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mumewe na kujaribu kuwaua watoto wengine...

READ MORE

Bweni Lililochomwa 2018 Laungua Tena, Kura Zapigwa ‘Kubaini’ Wahusika

  SEHEMU ya bweni la wavulana wa Shule ya Sekondari Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe, imeungua moto na kusababisha hasara...

READ MORE

Monalisa Ajibu Mapigo: Waangalie Wanao, Je ni wa Kwako?

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Yvonne Cherrie, maarufu kwa jina la Monalisa, amewataka wanawake ambao wapo kwenye ndoa waache kumshambulia kwa...

READ MORE

Mkenya Anaswa Akitoa Hongo Apatiwe Cheti cha Corona TZ

RAIA wa Kenya, Alexander Mwikali (42), amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma ya kutoa rushwa ya Sh....

READ MORE

Kombinesheni ya Samatta, Ozil Tabu Tupu Uturuki!

HABARI njema kwa mashabiki wa Fenerbahce ya Uturuki na wafuasi wa nahodha wa Taifa Stars, ni Mbwana Samatta ‘Samagoal’kutua kwenye...

READ MORE

Kipigo cha Stars, Makocha wa Vilabu Lawamani

KUFUATIA kipigo cha mabao 2-0 walichokipa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwenye michuano ya CHAN kundi D dhidi...

READ MORE

Ronaldo Aweka Rekodi ya Dunia

CRISTIANO RONALDO ameweka rekodi ya kuwa kinara wa ufungaji mabao kwenye historia ya mpira wa miguu duniani kwa kufikisha magoli...

READ MORE

Ufaransa Yagoma Kuiomba Radhi Algeria

RAIS  wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameondoa uwezekano wa nchi yake kuomba msamaha rasmi kwa dhuluma ilizozifanya nchini Algeria. Ofisi yake...

READ MORE

Kocha Mwambusi Ajiondoa Yanga

JUMA MWAMBUSI ameomba kukaa kando kwa sasa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye majukumu ya kuwa kocha msaidizi.   Hatua...

READ MORE

Majaliwa Aagiza Kodi, Tozo za Mkonge Zifanyiwe Mapitio

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ifanye mapitio ya kodi na tozo zote zilizopo katika zao la mkonge...

READ MORE

Harmonize – Anajikosha (Official Music Video)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize Januari 20, 2021 ameachia video ya...

READ MORE