×

Rais Trump Aondoka Ikulu na Mkewe Melania (Picha +Video)

RAIS Donald Trump ameondoka Ikulu ya Marekani leo Januari 20, 2021 akiwa na mkewe saa 2:12 asubuhi (Tanzania ilikuwa saa...

READ MORE

Polisi Kibaha Akutwa Amefariki kwa Kujinyonga

POLISI  aliyekuwa anafanya kazi katika kituo cha Polisi Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani, namba E 6472 Yusuph Said, mwenye umri...

READ MORE

Apigwa Shoti Akiiba Waya Kwenye Transfoma

RIZIKI MOSHA (23) mkazi wa mkoani Arusha amekamatwa na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za...

READ MORE

Kocha Yanga: Simba Hawakupaswa Kumsajili Chikwende

MOHAMED HUSSEIN maarufu kama Mmachinga, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga Princess, amesema kuwa anaamini kwamba wawakilishi wa Tanzania kwenye...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi NRC TZ , Finance Technical Assistant Tanzania Kibondo

Job Description Job Description The Finance  Technical Assistant is responsible for day-to-day financial accounting tasks at the NRC TZ office;...

READ MORE

Fiston Apigwa Mkwara Mzito…

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze ameonyesha hataki mchezo ndani ya kikosi hicho kufuatia kuwataka nyota wote wa kikosi hicho...

READ MORE

EU Kuziruhusu Tena Ndege za Boeing 737 Max

UMOJA wa Ulaya (EU) umepanga kutoa idhini kwa utumiaji wa ndege za abiria aina ya Boeing 737 Max kuanzia wiki...

READ MORE

Mtendaji Aliyempiga Mwananchi Asimamishwa Kazi

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Hudson Kamoga, amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji wa kijiji cha Haydom, Adela...

READ MORE

Burna Boy Kusikika Uapisho wa Joe Biden Ikulu ya Marekani

MSANII wa Nigeria, Burna Boy, amejumuishwa katika orodha ya nyimbo ambazo zitapigwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa rais mteule...

READ MORE

Mkude Aandaliwa Faini Simba, Kurudishwa Kikosini

IMEELEZWA kuwa, kiungo wa Simba, Jonas Mkude anatarajia kupigwa faini na uongozi wa timu hiyo kutokana na kosa la kinidhamu...

READ MORE

BASATA Yamwekea Mtego Diamond

BARAZA la Sanaa Taifa ( BASATA ) limewataka wasanii wote ambao watatumbuiza katika Tamasha la ‘Tumewasha’ linaloendeshwa na Wasafi Media...

READ MORE

Anusurika Kifo kwa Kuchomwa Kisu Tumboni Kisa ‘Buku’!

MWITA Buruna (30), mkazi wa kijiji cha Rung’abure Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amelazwa hospitalini baada ya kuchomwa kisu tumboni...

READ MORE

Tanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki Dunia

NAIBU  Kamishna wa Magereza, Julius Sang’udi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Jumatano, Januari 20, 2021....

READ MORE

Breaking: Bilionea Jack Ma Ajitokeza Hadharani

  MFANYABIASHARA na mmliki wa Kampuni ya Alibaba, Jack Ma, nchini China, kwa mara ya kwanza leo amejitokeza hadharani kuzungumza...

READ MORE

Live: Diamond Anavunja Ukimya, Anazungumza Na Wanahabari Muda Huu…

 MWANAMUZIKI Diamond Platinumz, Januari 19, ameitisha mkutano na wanahabari katika ofisi zake zilizopo Mbezi jijini Dar.. ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Maalim Seif Akutana na Watendaji Wenye Ulemavu Zanzibar.

MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Janauari 19 amefanya Ziara katika Idara ya Watu wenye...

READ MORE

Kisa Morrison, Yanga Yampa Mkataba Mgumu Fiston

UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa wamempa mkataba mshambuliaji wao mpya Mrundi Fiston Abbdulrazack...

READ MORE

Mkuu wa Shule Atokomea na Michango ya Mitihani ya Form 4 & 2

Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo leo asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya...

READ MORE