×

Q Chief Achafukwa, Amporomoshea Matusi Diamond

MSANII nguli wa muziki wa kizazi kipya, Abubakar Katwila, maarufu kama Q Chief, ameamua kuvunja ukimya na kuulaumu uongozi wa...

READ MORE

Bobi Wine Aanza Mchakato Kupinga Matokeo

CHAMA cha NUP kimesema maandalizi yote muhimu yamefanyika na leo wanatarajia kuwasilisha ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika...

READ MORE

JPM Ampandisha Cheo Jaji Aliyeandika Hukumu Kiswahili – Video

RAIS  John Magufuli amepandisha cheo Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba, aliyeandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili...

READ MORE

Majaliwa Aipa CEOrt Mbinu Kuvuna Watendaji Wakuu Wazawa

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Jukwaa la Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi nchini (CEOrt)...

READ MORE

Binti Akiri Kudanganya Kubakwa, Mtuhumiwa Afungwa Jela Miaka 60

BINTI Maria Sanga (20), mkazi wa kijiji cha Kilingi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ameamua kuiangukia Serikali kutengua hukumu kwa...

READ MORE

Bonge la Ngoma: Scopion Kings X Tresor (Official Video – Funu)

MASTAA wa kundi la muziki la Scopion Kings,  DJ Maphorisa na Kabza De Small kwa kushirikiana na mkali wa Afro...

READ MORE

Zuchu: Sijasababisha Sukari Ipande Bei

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Zuchu amesema kuwa hakutegemea mapokezi aliyoyapata kutoka kwa Watanzanai kwani lengo lake lilikuwa labda...

READ MORE

Nafasi za Masomo, The Amazon College DSM

THE AMAZON COLLEGE inawaalika vijana wote waliomaliza kidato cha nne (IV) kujiunga na kozi Fupi za COMPUTER APPLICATION Katika kipindi...

READ MORE

T.I Ajibu Tuhuma za Kudhalilisha Wanawake Kingono

MWANAMUZIKI Mmarekani T.I. (jina lake halisi ni Clifford Joseph Harris Jr) na mkewe wamevunja ukimya, wameibuka na kukanusha tuhuma za...

READ MORE

Liundi: Mama Alitunywesha Sumu, Wadogo Zangu Wakafariki

Mtangazaji nguli nchini, Taji Liundi, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi na mchango wake katika tasnia ya muziki. Taji aka Master...

READ MORE

50 Cent Ataka Kuzichapa na Mayweather

RAPA nguli nchini Marekani, Curtis James Jackson maarufu kama ’50 Cent’ amesema anataka kuingia ulingoni kuzichapa na bondia bingwa wa...

READ MORE

Bibi Auawa na Mchunga Ng’ombe Wake Ili Arithi Mali

  ANTONIA JITINDE (62) aliyeishi katika kijiji cha Zawa, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, hakuwahi kuhisi kuwa ngo’mbe 25 na...

READ MORE

Baba, Mtoto Wanaswa Wakituhumiwa Kuuza Dawa za Serikali

MTEGO uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMD) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad na mtoto...

READ MORE

Breaking: Lori Lagonga Treni Vingunguti Dar

  Shirika la Reli Tanzania (TRC) limethibitisha kutokea kwa ajali ya treni leo alfajiri eneo la Vingunguti, Dar es Salaam...

READ MORE

Rais JPM Awapa Mwezi Mmoja Wakuu wa Mikoa, Wilaya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kote nchini...

READ MORE

Mkataba wa Messi Wavuja, Barca Wageuka Mbogo

KLABU ya soka ya Barcelona ya Hispania, imesemaitachukua “hatua za kisheria” dhidi ya gazeti la Hispania la El Mundo baada...

READ MORE

Wanawake Arusha Waandamana Kisa Mauaji ya Mwenzao

JESHI la Polisi mkoani Arusha jana jioni lilitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanawake waliokuwa wakiandamana na kufunga barabara wakizuia kuzikwa...

READ MORE

Nafasi za Kazi FINCA Microfinance Bank (FINCA) – Head of Collections and Recovery

VALIDITY PERIOD: 20/01/2021 – 07/02/2021 DUTY STATION: DAR ES SALAAM POSITION: HEAD OF COLLECTIONS AND RECOVERY DEPARTMENT: COLLECTIONS AND RECOVERY   Summary Head of...

READ MORE

Marekani Yasitisha Chanjo kwa Wafungwa

  WIZARA ya Ulinzi ya Marekani imesema itasimamisha mpango wake wa kuwapa chanjo dhidi ya COVID-19 wafungwa wa makosa ya...

READ MORE

Jeshi Myanmar Lamkamata Kiongozi wa Nchi, Latangaza Hatari

JESHI la Myanmar limetangaza hali ya dharura likidai kufanyika udanganyifu wa kura katika uchaguzi, baada ya kuwakamata viongozi kadhaa akiwemo...

READ MORE