×

Ajifungua Kanisani Baada ya Kumuomba Mungu Mtoto wa Kike

MKAZI wa mtaa wa Kilimahewa kata ya Bulangwa wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita, Justina Lukilisha amejifungua mtoto nje ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Madiwani Watatu Mbinga Vijijini Wakamatwe

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma,...

READ MORE

Hamisi wa BSS: Harmonize Nisamehe, Nilidhani Nimetoboa

STORI zinazozungumza sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu aliyekuwa mshiriki wa Mashindano ya Kusaka Vipaji maarufu kama...

READ MORE

Vifo Vinne vya Ajali Vyatikisa Moshi

NI simanzi na majonzi mjini hapa kutokana na vifo vya watu wanne vilivyotokana na ajali siku ya Mwaka Mpya. George...

READ MORE

Dully Sykes Afunga Mjadala wa Ndoa

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dullysykes’ amefunguka sababu ya kuwa bachela na kuufunga mjadala kuhusu suala...

READ MORE

Chuchu Awaponda Mastaa Wanaozindua Miradi Feki

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amewaponda mastaa wenzake wanaozindua miradi mbalimbali ikiwemo maduka na saluni wakijifanya miradi yao...

READ MORE

Mrithi wa Mikoba ya Mkude Simba Huyu Hapa

KIUNGO Mzawa Said Ndemla amemkosha Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck na kusema eneo la kiungo mkabaji limepata mchezaji mbadala kuelekea kwenye...

READ MORE

Tshisekedi Awasamehe Waliomuua Rais Kabila

    WANAUME wawili waliopatikana na hatia ya mauaji ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Laurent Kabila, miaka...

READ MORE

Manara Afunguka ya Mkude – Video

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara, leo Januari 04, 2021, amezungumza na wanahabari kuelekea mechi yao kubwa iliyobeba hatma...

READ MORE

Rosa Ree Hataki Mazoea Na Wanawake!

RAPA Rasary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kitu ambacho kitamfanya agombane na mpenzi wake ni kuwa na mazoea na wanawake....

READ MORE

Mazungumzo ya Siri ya Trump Kujaribu Kubadili Matokeo Yanaswa

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amerekodiwa akimwambia afisa mkuu wa uchaguzi Georgia atafute kura za kutosha kuwezesha kubadilishwa kwa matokeo...

READ MORE

Bilionea wa Dunia Jack Ma Hajulikani Alipo

BILIONEA  wa China, Jack Ma inasemekana hajulikani alipo baada ya kutoonekana hadharani kwa zaidi ya miezi miwili.   Aidha, alishindwa...

READ MORE

Papii Kocha Amshangaa Koffi!

MWANAMUZIKI wa dansi nchini, Johnson Nguza maarufu Papii Kocha amesema amemshangaa mkongwe wa dansi kutoka Congo DR, Koffie Olomide katika...

READ MORE

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

  MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza...

READ MORE

Baba D Amponza Mama Mondi!

DHORUBA ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi kumbania matunzo baba yake mzazi mzee Abdul Juma, haijatulia, Risasi limebaini.  ...

READ MORE

Saido Apewa Masharti Magumu Yanga

NYOTA wote wa Yanga akiwemo staa mpya wa kikosi hicho, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, wamepewa masharti magumu katika mzunguko huu wa...

READ MORE

‘Wamejilipua’… Vita Ya Harmo, Mondi Imenoga 2021

WAMEJILIPUA! Hiyo ndiyo hali halisi baina ya wasanii wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’....

READ MORE

Polisi Amuua Rafiki Yake Wakitafuna Mirungi Kituoni

MAOFISA wa upelelezi kutoka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kenya wameanzisha uchunguzi dhidi ya kifo cha...

READ MORE