×

Avunja Ndoa ya Miaka 24 Baada ya Kubambikiwa Watoto 3

TAFAKARI haya, baada ya miaka 24 ya ndoa, unagundua kuwa watoto watatu kati ya wanne ambao umekuwa ukiwalea pamoja na...

READ MORE

Jumbe Asimulia Alivyovunjwa Mguu na Kuku Ndotoni

UMEWAHI kusikia kisa cha mtu kuvunjwa mguu na kuku? Leo ukiambiwa mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Hussein Jumbe amevunjika...

READ MORE

Hemedy PHD ‘Kumuoa’ Uwoya

VUTA picha! Mtoto mzuri, Irene Uwoya anaolewa na handsome boy anayefanya Bongo Fleva ambaye pia ni muigizaji Hemed Suleiman ‘Hemedy...

READ MORE

Hospitali Ya Temeke Kuwa Na Vyumba Sita Vya Upasuaji

Ili kuhudumia wagonjwa wengi zaidi wa upasuaji, hospitali ya Temeke iko kwenye mkakati wa kujenga vyumba sita vya upasuaji (theater)....

READ MORE

Yanga Yawachinjia Baharini Ihefu FC

 UONGOZI wa Yanga kupitia kamati yake ya usajili, imewachinjia baharini mabosi wa Ihefu FC, kufuatia barua yao ya kumtaka mshambuliaji...

READ MORE

Mimi Mars: Vanessa Alikuwa na Kila Kitu Kwenye Muziki

UKIAMBIWA utaje listi ya warembo wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva, basi nina imani kubwa kuwa hautaacha kutaja jina la mwanadada...

READ MORE

Wananchi Wamshukuru Shigongo kwa Hili… – Video

  WANANCHI wa Kijiji cha Sukuma, Halmashauri ya Buchosa, wameeleza furaha yao baada ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vinane vya...

READ MORE

Kisiwa cha Harishi- Part 6

“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu....

READ MORE

Taharuki! Chanjo Corona Kudaiwa Kuongeza Maumbile ya Kiume

WAKATI mataifa yaliyoendelea yakihaha kusambaza kwa wingi chanjo ya maambukizi ya Virusi vya Corona, taharuki imeibuka baada ya taarifa kusambaa...

READ MORE

Proud of You – Darassa Ft. Alikiba (Official Music Video)

 Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darassa’, ameachia ngoma mpya ya Proud of You  aliyomshirikisha mkali wa Bongo...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi, Yakusanya Tril. 2 Kwa Mwezi – Video

KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dr. Edwin Mhede, leo Januari 1,  2021 amesema mamlaka hiyo kwa Desemba...

READ MORE

Mkude Afunika Kwa Mshahara Mnono Wazawa Bongo

HAKAMATIKI! Ndiyo utakavyoweza kusema kwa kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude ambaye ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mzawa anayelipwa mshahara...

READ MORE

Bwana Harusi Atoweka Saa Chache Kabla ya Harusi, Bi Harusi Aangua Kilio

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Bwana harusi ambaye pia ni mchungaji wa Kanisa la New Hope Mountain (NHM), Yusuph Asagwile...

READ MORE

Mwinyi Alivyojiuzulu Uwaziri kwa Mauaji ya Kanda ya Ziwa

TUNAMALIZA mwaka mpya kwa kuwakumbusha utamaduni ambao husukumwa na maadili ambayo wakubwa serikalini wanaokumbwa na kashfa nzito hulazimika kujiuzulu nyadhifa...

READ MORE

Aika Asimulia Msoto wa Kulala Chumba Kimoja!

  AIKA Mariale na Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ ni moja kati ya kapo bora za mastaa hapa Bongo. Wamedumu pamoja bila...

READ MORE

Mashetani Wameamka, Ubingwa Unanukia

 MWAKA mpya wa 2021 ni leo, ndiyo kwanza umeanza na bahati nzuri kwa mashabiki wa Manchester United ni kuwa timu...

READ MORE

Maua Sama Kuachia Ngoma Kama Zote 2021

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amefunguka kuwa kwa sasa anataka kufanya ngoma tofauti bila kupoa kuanzia mwishoni...

READ MORE

Gwajima Aipongeza Hospitali ya Muhimbili

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, ameipongeza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa...

READ MORE

Manula: Tunakwenda Makundi Afrika

KIPA wa Simba, Aishi Manula amefunguka kuwa kikosi chao kina nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao...

READ MORE