×

Uingereza Yajitoa Rasmi Umoja wa Ulaya

UINGEREZA imeanza ukurasa mpya wa kujitegemea kwa kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), baada ya usiku wa kuamkia jana kukamilisha...

READ MORE

Mrembo Aanika Picha Zake na Dangote, Atoboa Siri Nzito

MWANAMKE mfanyakazi katika mgahawa mmoja nchini Marekani aliyejulikana kama Bea Lewis, jana (Ijumaa) habari zake zilizagaa mitandaoni akidai kwamba tajiri...

READ MORE

Baba wa Kagere Aibuka Dar, Ataka DNA -Video

ANAYESEMEKANAkuwa baba wa nyota wa Klabu ya Simba, Meddie Kagere, Vedasto Katologi ameibuka na kusema yeye ni baba wa nyota...

READ MORE

Yacouba Azua Hofu Yanga SC

JERAHA la mbavu alilolipata mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Yacouba Songne, limeendelea kuipa hofu Yanga juu ya uwezekano wa kukosa...

READ MORE

Wamiliki Malori Wasiotoa Stahiki kwa Madereva Kuwajibishwa

KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Tanzania, Wilbroad Mutafungwa, ametoa maagizo kwa wamiliki wa magari makubwa kuhakikisha wanatoa stahiki...

READ MORE

Jambazi Auawa Usiku wa Kuamkia 2021

MTU mmoja anayedaiwa kuwa jambazi ameuawa na jeshi la polisi mkoani Kigoma, wakati wa majibizano ya risasi na wenzake watatu...

READ MORE

March For Trump Bus Tour Rally in West Monroe, LA 1/1/21

 Thursday, December 31 2020: Join the RSBN crew for live coverage of the March for Trump Bus Tour Rally...

READ MORE

Shigongo Ataja kwa Uchungu Jambo Linalomuumiza – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amesikitishwa na baadhi ya shule za halmashauri hiyo kushika nafasi za mwisho kitaifa katika...

READ MORE

Jaji Apinga Maombi ya Pence Kuhusu Kuhesabiwa Kura

JAJI wa shirikisho nchini Marekani, jana (Ijumaa) alitupilia mbali maombi ya mjumbe wa Baraza la Congress kutoka chama cha Republican...

READ MORE

Familia ya Shigongo Wafanya Ibada Kuwaombea Wazazi Wao – Video

  MBUNGE  wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, na familia yake, leo Ijumaa, Januari Mosi, 2021, wamefanya ibada ya misa kuwaombea...

READ MORE

Membe Abwaga Manyaga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa chama hicho,...

READ MORE

Mtoto wa Mwalimu Nyerere Afariki Dunia

FAMILIA  ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imepata msiba wa mtoto wao Rosemary Nyerere aliyefariki jana jioni jijini Dar...

READ MORE

Chelsea Uso Kwa Uso Dhidi ya Manchester City

EPL inaendelea kutoa burudani kwa mashabiki wa soka duniani. Licha ya 2020 kuwa ni mwaka uliokumbwa na majanga yaliyoathiri michezo...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 2, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 2, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Funga Mwaka 2020… Mondi Kicheko, Kiba Maumivu

AMA kweli mwaka huu ulikuwa kicheko kwa msanii wa Bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi huku wasanii wenzie akiwamo...

READ MORE

Jay Melody; ‘Mchawi’ wa Nandy!

UKIAMBIWA utaje wasanii waliotoka kwenye Jumba la Vipaji Tanzania (THT), lililokuwa likiasisiwa na marehemu Ruge Mutahaba, huwezi funga hesabu bila...

READ MORE

Mchungaji Anyofolewa Sikio Kisa Kufumwa na Mume wa Muumini Wake

KATIKA kipindi cha sikukuu ya Krimasi kumetokea kisanga cha kipekee katika baa moja iliyopo mjini Embu jijini Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

Shilole: Hapa Nimetulia Tulii

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye penzi lake...

READ MORE

Harmo Atamba na Wanawake wa Mondi

KAMA ilivyo kawaida yake kuibua mambo mazito ya kumfanya azungumziwe au ‘kutrendi’, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ameliibua...

READ MORE