×

Kahama: Babu wa Miaka 75 Akamatwa na Silaha za Kivita

POLISI  mkoa wa Shinyanga linamshikilia Masanja Maziku Bugolole (75) Mkazi wa Kijiji cha Gula Wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma...

READ MORE

Live: Waziri Lukuvi Anatatua Mgogoro Mtaa Wa Mtakuja Dodoma

WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi, amekutana na viongozi wa mkoa wa Dodoma, akiwemo mkuu wa mkoa, Binilith Mahenge, Mbunge Antony...

READ MORE

Boko Haramu Yawaachia Wanafunzi 344 Iliowateka

MAMIA ya wavulana waliotekwa wiki iliyopita kutoka shule ya bweni kaskazini-magharibi mwa Nigeria wameachiliwa huru, mamlaka katika eneo hilo zimeliambia...

READ MORE

Video: Kiwewe, Matumaini Wafunguka Mazito Ndani Ya Katambuga

 KATIKA kipindi cha ‘KATA MBUGA’ cha GLOBAL RADIO, leo waigizaji wa vichekesho, Kiwewe na Matumaini, wamefunguka ishu mbalimbali kuhusiana...

READ MORE

Shikalo Kama Zali, Anusurika Panga la Kaze Yanga

KWA mara ya kwanza, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sababu za kipa wake Mkenya Farouk Shikalo kuwekwa...

READ MORE

Lewandowski Ashinda Tuzo Mchezaji Bora Fifa

MCHEZAJI wa kimataifa wa Poland anayewachezea mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, Robert Lewandowski, usiku wa jana Desmba 17, amefanikiwa kushinda...

READ MORE

Kilichosemwa Mahakamani, Mabilioni ya Rugemalira, Seth – Video

  UPANDE wa mashtaka umeeleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi katika kesi inayowakabili mfanyabiashara, James Rugemarila, na mmiliki...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Penzi la Shamsa Ford na Fundi Mitambo Zengwe Zaanza

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Benard Jordan maarufu Fundi Mitambo anayetamba ngoma mpya ya Sosomola ambaye hivi karibuni...

READ MORE

Dk. Mwinyi: Nivumilieni, Ninafanya Uamuzi Mgumu – Video

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amewataka wananchi kumvumilia wakati akifanya uamuzi mgumu dhidi ya watu wanaoshiriki rushwa, uhujumu uchumi,...

READ MORE

Queen Darleen Aukimbia Mjengo Wa Kifahari

HATA kama Waswahili wanaamini mwenda kwao siyo mtoro lakini kwa msanii wa Bongo Fleva na memba wa Lebo ya Wasafi...

READ MORE

Jukumu la Kampuni za Simu Katika Kuwajengea Watanzania Ujuzi wa Kidijitali

Inafahamika wazi kuwa teknolojia imebadili maisha ya binadamu na mabadiliko mengi zaidi bado yanaendelea kuja. Tanzania ni moja ya nchi...

READ MORE

Majaliwa Atoa Siku 7 Walionunua Magari ya Gharama Wajieleze

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku saba kuanzia jana (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 18, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 18, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mobeto Atemwa Tena na Mchumba Wake

SEXLADY kunako gemu ya fasheni Bongo, Hamisa Mobeto kwa mara nyingine ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya mpenzi wake...

READ MORE

VOA: DUNIANI LEO – DESEMBA 17, 2020 -VIDEO

 Karibu utazame Dakika 30 za TAARIFA YA HABARI ya Duniani Leo kutoka SAUTI YA AMERIKA (VOA) zilizosheheni habari mbalimbali...

READ MORE

Rekodi Mpya ya Kagere Mbele ya Wachezaji Wengine

Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda na Klabu ya Simba SC, Meddie Kagere amefikisha mabao 50 ya Ligi Kuu Tanzania bara...

READ MORE

Makaburi ya Kifahari Yanayozidi Nyumba za Kifahari

MAISHANI watu wengi hutaka kuishi katika nyumba nzuri na za kifahari. Wengi huwa hawafanikiwi. Lakini nchini Mexico, ambapo ulanguzi wa...

READ MORE

Adaiwa Kumuua Mfanyabiashara Mwenzake, Amzika!

MBEYA: Taharuki imetanda baada ya mfanyabiashara Justin Justin (30), mkazi wa Upangwa wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe kulazimika kukimbilia kusikojulikana...

READ MORE

Mwanamke Asakwa Akituhumiwa Kufanya Mapenzi ya Jinsia Moja na Watoto

PEMBA: Mwanamke mmoja Salma Mohamed Hamed ameshtakiwa polisi kwa tuhuma za kushiriki mapenzi ya jinsia moja na watoto wa shule...

READ MORE