×

Laki Saba Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza

  Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga...

READ MORE

Carlinhos Afanyiwa Vipimo Yanga SC

KUFUATIA kusumbuliwa na mejeraha ya nyonga kwa muda mrefu, Kiungo wa Yanga, Carlos Carlinhos amefanyiwa kipimo cha MRI ili kubaini...

READ MORE

Mr Kuku Aachiwa, Baada ya Kulipa Faini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Desemba 17, 2020, imemwachia huru Tariq Machibya (29) almaarufu Mr Kuku baada ya kulipa...

READ MORE

Benki ya CRDB Yaibuka Kinara Tuzo za Mabenki

    Benki ya CRDB imeibuka na tuzo ya benki ya ndani ya nchi inayopendwa zaidi (Most Preferred Domestic Bank...

READ MORE

Sarpong: Nacheza Kwa Maelekezo Ya Kocha

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, ameibuka na kusema hawezi kupoteza muda wake kuwafi kiria Sarpong: Nacheza kwa maelekezo ya...

READ MORE

Daktari Ashauri Watu Kutooga, Yeye Hajaoga Miaka 5

DAKTARI bingwa wa tiba ya uzuiaji wa magonjwa, James Hamblin, alifanya utafiti kuhusu utakatishaji wa ngozi ambao hivi karibuni umechapishwa...

READ MORE

Saido Aanza Kuitisha Simba

SUPASTAAmpya wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, amewatisha wapinzani wao, Simba kwa kuwaambia wakikutana uwanjani atapambana kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

Stendi Mwenge Kuanza Kutumika Machi Mwakani

  KITUO cha mabasi cha Mwenge kitaanza kutumika Machi mwakani (2021) kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Shule Zafungwa Nigeria Kuhofia Boko Haram

MAJIMBO manne nchini Nigeria yametoa amri ya shule kufungwa baada ya wanafunzi zaidi ya 100 kutekwa katika jimbo la Katsina. ...

READ MORE

GDSS Wafanya Tathmini 2020

Kupitia semina za jinsia na maendeleo (GDSS) ambazo zinaandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) imefanya tathimini ya mada mbalimbali...

READ MORE

Museveni Amteua Mwanaye Kuwa Mkuu wa Ulinzi

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museven,i ambaye pia ni amiri jeshi mkuu, amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF) na...

READ MORE

Maua Sama Afafanua Bifu Na Nandy

MSANII wa Bongo Fleva, Maua Sama, amefungukia kuhusu madai ya kuwa na tofauti na msanii mwenzake Faustina Charles ‘Nandy’.  ...

READ MORE

Jose Mourinho: Ushindi Wa Liverpool Ni Wa Kutengenezwa

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa ushindi ambao wameupata wapinzani wake Liverpool kwenye mchezo wao wa...

READ MORE

Zuchu Apachikwa Jina la Diamond wa Kike

  ILI uwe supastaa wa ukweli, achana na wale wa kulazimisha, kuna vitu vitatu vya muhimu unapaswa kuwa navyo; kipaji,...

READ MORE

VIDEO | FRONT PAGE: DC ARUSHA Atoa ADHABU ya VIBOKO kwa WANAFUNZI

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Bilionea Subash; Kimbilio La Wanyonge Aliyezimika Kama Mshumaa

KIMYA milele! Ule msemo wa Wahenga kwamba kizuri hakidumu, umetimia! Mtu wa watu, binadamu mwenye moyo wa kipekee kabisa, anayezibeba...

READ MORE

TECNO Kuwapa Furaha ya Krismasi na Mwaka Mpya Wateja Wake

Kampuni ya simu za mkononi ya  TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa Krisimasi...

READ MORE

Simba Yafikisha Pointi 32, Yaipiga KMC Kwa Mkapa

BADO pointi tano tu Simba kuifi kia Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara. Hiyo ni baada ya jana...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 17, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 17, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE