×

Tuyisenge Afunguka Kutua Yanga SC

  HATIMAYE mshambuliaji wa APR ya nchini Rwanda, Jacques Tuyisenge, amefungukia dili lake la kujiunga na Yanga ambayo amekuwa akihusishwa...

READ MORE

DJ Sbu Avunja Rekodi ya Dunia, Aipa Heshima +255 Global Radio

DJ na mjasiriamali kutoka Afrika Kusini, Sbusiso Leopo, maarufu kama DJ SBU ameendelea na kazi moja tu ya kuvunja rekodi ambapo...

READ MORE

Mondi, kiba, Harmo Kukutana Live Steji Moja – Video

KATIBU Mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Dkt Hassan Abbas, amezungumza na wanahabari akiwa na baadhi ya wasanii...

READ MORE

CAS Yampiga Stop Morrison, Yanga Wachekelea

KIMENUKA! Ndivyo utakavyoweza kusema baada ya Mahakama ya Usuluhishi ya Masuala ya Soka ya Kimataifa (CAS) kumtumia barua ya kumsimamisha...

READ MORE

Simba Yaahidi Kupindua Uwanja wa Mkapa

LICHA ya Simba jana kufungwa bao 1-0 dhidi ya FC Platinum, lakini benchi la ufundi na nyota wa kikosi hicho...

READ MORE

Mukoko Aleta Jembe la Maana Yanga

KAMA mambo yakienda sawa, basi usishangae kuona Yanga wakimshusha beki Ousmane Adama Ouattara raia wa Ivory Coast ambaye anakipiga kwenye...

READ MORE

Nafasi ya Kazi PASADA -Monitoring and Evaluation Officer

Monitoring and Evaluation Officers (4 posts) PASADA is a social service and health care faith based organization operating under the...

READ MORE

JPM: Fomu za Maadili Ziwe Siri, Ataja ‘Nyumba Ndogo’ – Video

RAIS  John Magufuli amemwapisha Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, kuwa Kamishna wa Maadili, leo Desemba 24, 2020,...

READ MORE

Abiria Waliompa Kipigo Dereva Wakamatwa

WATU wanne ambao ni abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Frester lenye namba za usajili T915 CGU kutoka wilayani Kahama...

READ MORE

Maestro: Morrison Ana Matatizo Kichwani, Azam Kuna Mgogoro Mkubwa

MCHAMBUZI maarufu wa masuala ya soka nchini, Ibrahim Maestro, amemchambua mchezaji wa Simba, Bernard Morrison kuhusu vitendo vyake vya utovu...

READ MORE

Darassa Aachia Albamu Yake, Nyimbo 21 – Video

  RAPA maarufu nchini Darassa CMG amezindua rasmi albamu yake mpya “Slave Becomes a King” usiku wa kuamkia leo Desemba...

READ MORE

Twitter Kufuta Wafuasi wa Trump Kabla ya Kumkabidhi Biden

TWITTER  imethibitisha kwamba mamilioni ya wafuasi wa akaunti rasmi ya Rais wa Marekani watafutwa kabla ya akaunti hiyo kukabidhiwa utawala...

READ MORE

Singida Utd Yashushwa Madaraja Mawili, Yanga Yapeta FA

KAMATI  ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Desemba 22,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Live | Front Page: JPM Ateua Kamishna Mpya Wa Maadili, Janja Ya Vifurushi Vya Simu

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Wito Kwa wananchi Kutumia Vizuri TEHAMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa  Desemba 23, 2020 alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji tuzo kwa washindi mashindano ya TEHAMA...

READ MORE

Ufuska wa Kutisha Wafanyika Uwanja wa Mpira

DAR: Uwanja wa mpira wa miguu wa Kirumba jijini Mwanza umegeuzwa danguro linalotumiwa na akina dada wanaojiuza nyakati za usiku...

READ MORE

Picha za Baba Mondi Zaivuruga Familia

SIKU chache zilizopita kuliibuka gumzo mitandaoni baada ya picha za baba mzazi wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Hadhi, Mamlaka ya Rais Zanzibar Ndani ya Serikali ya Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 24, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 24, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE