×

Spika Mstaafu Anna Makinda Utapenda Alivyowanoa Madiwani Wanawake

SPIKA mstaafu Anna Makinda, leo amewanoa madiwani wanawake wanaoendelea na warsha ya kuimarishwa kiuongozi inayoendele kwenye ofisi za Mtandao wa...

READ MORE

Erasto Nyoni: Tutawafunga Platinum Kwao

BEKI wa Simba ambaye anamudu pia kucheza kama kiungo mkabaji, Erasto Nyoni, amesema kuwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo...

READ MORE

Breaking: Kiboko na Mkewe Watupwa Jela Miaka 20

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ayubu Kiboko...

READ MORE

Lulu Amvaa Shabiki Mtandaoni

WAKATI watu wakiwa bize na habari ya P Funk na binti yake Paula, mara paap staa wa filamu Bongo Elizabeth...

READ MORE

Wanaougua Uti wa Mgogo Waiomba Meridian Bet Fursa za Ajira

Taasisi ya watu wanaougua uti wa mgongo nchini (KASI) wameomba nao wakumbukwe kwenye fursa za ajira zinapotokea nchini. Kauli hiyo...

READ MORE

Yacouba Ana Jambo Lake, Atikisa Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ameweka rekodi nzuri katika timu hiyo ya kuwa kinara wa...

READ MORE

DPP: Wanaoidai Qnet, Hakuna Kurejeshewa Fedha

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, amesema ni kosa kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na kampuni ya Qnet kisha kudai...

READ MORE

Bunge Lamwondoa Madarakani Gavana Sonko

BUNGE la Seneti limemuondoa madarakani Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, baada ya maseneta 27 kupiga kura za ndiyo kuunga mkono...

READ MORE

Kagere Aweka Rekodi ya Kibabe Bongo

MSHAMBULIAJIwa kimataifa wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, ameandika rekodi mpya na ya kibabe ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya...

READ MORE

Breaking News: Rais Pierre Buyoya Afariki Dunia

RAIS wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye aliiongoza  Burundi kwa mihula miwili kuanzia mwaka 1987 hadi 1993 kisha tena...

READ MORE

Yanga Princess Yapaa Kileleni Kibabe

USHINDI wa mabao 5-0 waliopata ugenini Yanga Princess dhidi ya ES Unyanyembe, umewafanya warejee kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu...

READ MORE

Paula na Baba’ake Hapatoshi, Amtetea Mama Yake

MOJA kati ya habari ambazo zimeshika vichwa vingi vya habari wiki hii ni pamoja na mtoto wa staa wa Bongo...

READ MORE

Simba Yawafuata FC Platinum na Full Muziki

JESHI la wachezaji 24 wa Simba leo Ijumaa Desemba 18, 2020 wamekwea pipa kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa...

READ MORE

Lewandowski, Klopp, Manuel Neuer Wanyakua Tuzo Bora za FIFA

ROBERT Lewandowski, mshambuliaji nyota wa Bayern Munich ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa Fifa huko Zurich na kuwashinda washindi wa miaka...

READ MORE

Kahama: Babu wa Miaka 75 Akamatwa na Silaha za Kivita

POLISI  mkoa wa Shinyanga linamshikilia Masanja Maziku Bugolole (75) Mkazi wa Kijiji cha Gula Wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma...

READ MORE

Live: Waziri Lukuvi Anatatua Mgogoro Mtaa Wa Mtakuja Dodoma

WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi, amekutana na viongozi wa mkoa wa Dodoma, akiwemo mkuu wa mkoa, Binilith Mahenge, Mbunge Antony...

READ MORE

Boko Haramu Yawaachia Wanafunzi 344 Iliowateka

MAMIA ya wavulana waliotekwa wiki iliyopita kutoka shule ya bweni kaskazini-magharibi mwa Nigeria wameachiliwa huru, mamlaka katika eneo hilo zimeliambia...

READ MORE

Video: Kiwewe, Matumaini Wafunguka Mazito Ndani Ya Katambuga

 KATIKA kipindi cha ‘KATA MBUGA’ cha GLOBAL RADIO, leo waigizaji wa vichekesho, Kiwewe na Matumaini, wamefunguka ishu mbalimbali kuhusiana...

READ MORE

Shikalo Kama Zali, Anusurika Panga la Kaze Yanga

KWA mara ya kwanza, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sababu za kipa wake Mkenya Farouk Shikalo kuwekwa...

READ MORE

Lewandowski Ashinda Tuzo Mchezaji Bora Fifa

MCHEZAJI wa kimataifa wa Poland anayewachezea mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, Robert Lewandowski, usiku wa jana Desmba 17, amefanikiwa kushinda...

READ MORE