×

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 13, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 13, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Simba: Tutawashangaza Wengi Kimataifa Lunyamadzo Mlyuka,

UONGOZI wa Simba umeweka bayana kwamba utawashangaza wengi kwenye kazi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwa wanaiwakilisha nchi kwenye...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Kukamatwa kwa Senzo

Uongozi wa mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara Yanga SC, umeeleza kushtushwa na kusikitishwa na tukio la kukamatwa kwa ofisa...

READ MORE

Kaze Ampa Tuisila Mapumziko Maalum Yanga

WAKATI nyota nane wakijiunga na timu za taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021, Kocha...

READ MORE

Mshambuliaji Mpya Yanga SC Kutua Wiki Ijayo

UONGOZI wa timu ya Yanga umesema kuwa unatarajiwa kumpokea mshambuliaji wao mpya Sadio Ntibazonkiza mara baada ya kumalizika kwa mapumziko...

READ MORE

Mfahamu Jambazi wa Kimataifa Aliyefariki Akibadili Sura

ANAFAHAMIKA kwa jina la Amado Carrillo Fuentes, alizaliwa Desemba 17, 1956 huko Sinaloa, Guamuchil nchini Mexico na anafahamika zaidi kama...

READ MORE

Simba Yampa Tuzo Mbili Tonombe

AKICHEZA Dar es Salaam dabi yake ya kwanza dhidi ya Simba, kiungo mkabaji wa Yanga Mkongomani Mukoko Tonombe amefanikiwa kubeba...

READ MORE

Sababu 5 Simba inawachapa Wanaijeria

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck pamoja na mabosi wa timu hiyo kwa sasa wanaweza kuanza kufurahia kupangiwa Plateau United FC...

READ MORE

Trump Mahakamani Kupinga Matokeo ya Uchaguzi

MAOFISA wa kampeni wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wamefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais katika...

READ MORE

Mc Pilipili: Shigongo Amenifanya Nitimize Ndoto Yangu – Video

MSANII wa Komedi nchini, Emmanuel Mathias maarufu kama ‘Mc Pilipili’ amemtaja Mbunge wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo kuwa ndiye mtu...

READ MORE

Kaze Aanza Kazi ya Pointi Tisa

BAADA ya kumaliza kibarua chake cha kusaka pointi 12 kwenye mechi zake nne za mwanzo, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric...

READ MORE

Viongozi Simba, Yanga Watambiana Usajili wa Chama

  KUPITIA mitandao mbalimbali ya kijamii viongozi wa Yanga na Simba wameendelea kutambiana juu ya usajili wa kiungo fundi wa...

READ MORE

Mahakama: Kutoa Wosia Si Uchuro

Jamii imeaswa kutoa wosia ili kuepusha migogoro baina ya ndugu na jamaa pindi binadamu anapofariki dunia na kwamba si kweli...

READ MORE

Tanzia: Rais Rawlings wa Ghana Afariki Dunia kwa Covid-19

  RAIS Mstaafu wa Ghana, Jerry Rawlings (73), amefariki dunia nchini humo kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi...

READ MORE

Senzo Atoa Kauli Nzito Bifu Lake na Simba

BAADA ya jana Novemba 11, 2020, mshauri wa klabu ya Yanga SC, Senzo Mazingisa, kuhojiwa na maofisa wa polisi katika...

READ MORE

Uwanja wa Ndege Bujumbura Wafunguliwa

KUANZIA siku ya Jumapili, Uwanja wa ndege wa Bujumbura, Burundi, umefunguliwa kwa ajili ya ndege zinazofanya safari kimataifa baada ya...

READ MORE

Kingdom Leadership Network Tanzania na Chuo cha Regent cha Marekani Kutoa Kozi

TAASISI ya Kingdom Leadership Network Tanzania na Chuo Kikuu Regent cha nchini Marekani wameungana na katika kutoa kozi mbalimbali hapa...

READ MORE

Mfahamu Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

MAJALIWA Kassim Majaliwa, ambaye amethibitishwa leo Alhamisi, Novemba 12, 2020 na Bunge la 12 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea...

READ MORE

Dkt. Tulia Ashinda Unaibu Spika – Video

MBUNGE wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Tulia Ackson, amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge...

READ MORE

Tumbili wa Ajabu Agunduliwa na Wanasayansi

TUMBILI  wanaojulikana kwa jina la Popa langur, ambalo ni jina la mlima Popa, barani Asia, wanakabiliwa hatari ya kuangamia kwa...

READ MORE