×

Magufuli, Mkewe Wapiga Kura Chamwino -(Picha +Video)

ZOEZI la kupiga kura linaendelea katika maeneo mbalimbali nchi nzima, ambapo watu wengi wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura tangu...

READ MORE

Julio: Tatizo la Simba ni Kocha Tu

ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemtaja kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuwa ndio chanzo cha matokeo...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Apiga Kura Zanzibar

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi,  amepiga kura Mjini Unguja ambapo ametoa rai...

READ MORE

Askari Wamnusuru Bocco na Kipigo

KATIKA hali ya kushangaza mshambuliaji wa Simba, John Bocco, juzi alinusurika kupigwa na mawe na mashabiki wa timu hiyo kufuatia...

READ MORE

Maalim Seif Apiga Kura Zanzibar

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif,  amefika katika kituo cha Garagara, Jimbo la Mwera,  na kupiga...

READ MORE

Nunua Magazeti ya Global Upate Zawadi Nono

Nunua magazeti kupitia globalapp.co.tz au Application ya GlobalApp Ujishindie Mkwanja hadi Tsh. 100,000/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8 Web:...

READ MORE

Kaze Amtaja Staa Wake Yanga

KOCHA wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anafurahishwa na mshambuliaji wa kati wa timu hiyo, Wazir Junior kutokana na...

READ MORE

Tarimba Alivyopiga Kura Kinondoni – Video

MGOMBEA ubunge (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba, amepiga kura leo Oktoba 28, 2020,  ambapo amewataka wananchi kujitokeza kwa...

READ MORE

Shigongo Apiga Kura Buchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, tayari ameshatia wino baada ya...

READ MORE

Polisi Zanzibar Wataja Sababu za Kutumia Mabomu ya Machozi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 28, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 28, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa...

READ MORE

Mondi Awafunika Kiba, Harmo Kupiga Mabilioni

KWA sasa katika gemu la muziki hasa wa Bongo Fleva, kumekuwa na ushindani mkubwa ambao umekuwa ukitia chachu kwenye muziki...

READ MORE

Monalisa Humwambii Kitu Kwa Ben Pol

MSANII wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ amesema kuwa msanii wa muziki anayemkubali zaidi ni Bernard Paul ‘Ben Pol’ kutokana...

READ MORE

Zuchu Apata Pigo Zito

DAR ES SALAAM: Mtihani mzito! Staa wa Bongo Fleva, Zuhura Othman ‘Zuchu’ amepata pigo la aina yake kufuatia baba yake...

READ MORE

Baada ya Kutiwa Mbaroni… Utajiri Nabii Bilionea Waibuliwa

SI habari tena kwamba, mchungaji maarufu wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG), Nabii Shepherd Bushiri, ametiwa mbaroni kwa tuhuma...

READ MORE

Dayna, Patoranking Uso kwa Uso Nigeria

MREMBO anayefanya poa kunako gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’, hivi karibuni ameibua gumzo baada ya...

READ MORE

Mastaa Wagombea Ubunge Matumbo joto

WAKATI zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 28 mwaka huu, imeelezwa kuwa mastaa waliojitosa kuwania...

READ MORE

Mume wa Riyama Awafokea Wanaobeza Penzi Lao

MUME wa msanii wa Bongo Muvi, Riyama Ally anayefahamika mjini kwa jina ma My Stereo, amewafokea wanaobeza penzi lake na...

READ MORE

AU Yatoa Tamko Uchaguzi Tanzania

MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na...

READ MORE