×

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 25, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 25, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Ukatili wa Kijinsia Ulivyomzima R-Kelly Kama Mshumaa

ROBERT Sylvester Kelly ‘R-Kelly’ alizaliwa Januari 8, 1967 Chicago, nchini Marekani. Katika familia yao R-Kelly alikuwa mtoto wa tatu kati...

READ MORE

Diamond Aahidi Makubwa Tena

MSANII wa bongo Fleva na Mmiliki wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye mwanzoni mwa mwaka...

READ MORE

Mobeto Ampigia Goti Zari!

KUKUBALI yaishe ni sehemu ya uungwana; ndivyo alivyofanya msanii wa Bongo Fleva na Mwanamitindo, Hamisa Mobeto ambaye amemtaka mwanamke mwenzake...

READ MORE

Tanzia: Mtangazaji wa TBC, Elisha Elia Afariki Dunia

Mtangazaji wa Shirika la Habari Tanzania (TBC), ELISHA ELIA MWAKAGALI amefariki Dunia hii leo Jumamosi, Oktoba 24, 2020 katika Hospitali...

READ MORE

Watumishi wa Afya, Wadau Wakutana Karimjee

  Watumishi wa Idara ya Afya na wadau mbalimbali wa Afya jioni hii wamekutana na kupongezana kwa kazi kubwa wanayoendelea...

READ MORE

Hofu Yatanda Majeruhi Simba SC

MAMBO ni magumu kwa Klabu ya Simba kutokana na kuandamwa na wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kusumbuliwa na majeraha...

READ MORE

Azam FC Yazishika Koo Simba, Yanga

AZAM FC imejitamba kuendeleza dozi kwa timu kongwe za Simba na Yanga kwa kusema kila mechi wanayocheza kwao ni fainali...

READ MORE

Chelsea Kuendeleza Uteja Kwa Mashetani Wekundu?

UHONDO  wa Ligi kuu ya Uingereza (EPL) unaeendelea ikiwa mechi kubwa inayosubiriwa ni kati ya Manchester United ambao watakuwa kwenye...

READ MORE

Breaking: Watu 13 Wafariki kwa Ajali, Ngara – Video

WATU  13 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa mkoani Kagera kufuatia ajali ya basi la Emirates ambalo hufanya safari zake...

READ MORE

JPM Azungumza Na Wananchi Wa Kisongo Na Makuyuni Arusha – Video

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisongo na Makuyuni mkoani...

READ MORE

JPM: Baada ya Uchaguzi Serikali Kununua Vichwa vya Treni 39 -Video

RAIS Magufuli  amesema baada ya uchaguzi kukamilika Serikali imejipanga kununua vichwa vya treni 39 kwa njia kuu na vingine 18...

READ MORE

Harmonize Alizwa Mamilioni YouTube

Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni bosi wa lebo kubwa ya muziki nchini Tanzania ya Konde Gang Music Worldwide,...

READ MORE

Baada ya Ushindi, Yanga Yatahadharishwa

Kocha mkuu wa KMC Habibu Kondo, amewatahadharisha Yanga kutokwenda na matokeo kichwani katika mechi dhidi yao itakayochezwa Jumapili ya tarehe...

READ MORE

Msikiti wa JPM Chamwino Wakamilika

MWONEKANO wa Msikiti wa Chamwino mkoani Dodoma ulioahidiwa na Rais John Pombe Magufuli, ukiwa umekamilika.

READ MORE

Video: Rais Magufuli Azindua Safari Za Treni Dar-Tanga-Arusha

RAIS Magufuli leo Oktoba 24, 2020 amezinduzi rasmi wa treni ya abiria inayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam...

READ MORE

Beyonce na Kauli Yake Iliyozua Jambo Sakata la Nigeria

RIHANNA, Kanye West na Nicki Minaj ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao wamejitokeza kuunga mkono maandamano dhidi ya ukatili wa...

READ MORE

Al Ahly Watinga Fainali Mabingwa Afrika

KIGOGO wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika...

READ MORE

Ben Pol Abadili Dini, Awa Muislam

MSANII maarufu wa miondoko ya RnB nchini, Ben Pol, jana Ijumaa, Oktoba 23, 2020 ametangaza kubadili itikadi ya dini kitoka...

READ MORE

Lyyn Ampakulia Minyama Kiba!

Sexy lady wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’ amempakulia minyama kama yote mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King...

READ MORE