×

Njemba Mbaroni Akigongesha Gari Geti la Kansela Merkel

POLISI katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, wamemkamata mwanamme mwenye umri wa miaka 54, aliyeligongesha gari lake katika lango la...

READ MORE

Simba Yataja Sababu ya Kuwaacha Bongo Nyota Wake Watatu

BAADA ya Simba kuwaacha nyota wake watatu Chris Mugalu, Charles Ilanfya na David Kameta uongozi wa timu hiyo umefunguka juu...

READ MORE

NMB Yasapoti Tamasha la Siku ya Mlipa Kodi Manispaa ya Ilala

    Kongamano la Siku ya Mlipa Kodi Manispaa ya Ilala, limefunguliwa leo Jumatano Novemba 25, huku Benki ya NMB...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Hazard Afunga Bao la Kwanza Madrid

EDEN Hazard ingizo jipya ndani ya Real Madrid ya Uhispania amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Kaze Aligundua Azam FC ni Wazito

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedrick Kaze, amesema kuwa aliwatambua wapinzani wake ni wazito, jambo lililomfanya atumie wachezaji wenye spidi mwanzo-mwisho....

READ MORE

Front Page: Utata Wabunge Chadema, Mnyika Awasha Moto – Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Wakulima Watakiwa Kuchukua Mikopo ya Pembejeo

Wakulima wa mkoa wa Katavi wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na taasisi za kifedha katika kuchukua mikopo ya pembejeo ili kuinua...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 26, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 26, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mwamnyeto Amfunika Maguire

BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga ya Bongo amemfunika jumlajumla beki wa kati ya Klabu ya Manchester United, Harry...

READ MORE

Sven Ataja Sababu Ya Kumtema Mugalu

BAADA ya Simba kuwaacha nyota wake watatu Chris Mugalu, Charles Ilanfya na David Kameta uongozi wa timu hiyo umefunguka juu...

READ MORE

Yanga Yaichapa Azam Bao 1-0, Yapaa Kileleni

MCHEZO  wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex umekamilika kwa wenyeji Azam FC kuyeyusha jumla pointi tatu na kufungwa...

READ MORE

Youssoufa Moukoko Kinda Tishio Duniani, Hadi Haaland Anamshangaa

MZALIWA wa Yaoundé nchini Cameroon aliyechukua uraia wa Ujerumani, Youssoufa Moukoko, wikiendi iliyopita aliweka rekodi ndani ya Ligi Kuu Ujerumani...

READ MORE

Breaking: Diego Maradona Afariki Dunia

MKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...

READ MORE

Yanga Yaisaidia Namungo Kimataifa

  KOCHA mkuu wa Namungo, Hemed Morroco amesema kuwa sare waliyoipata dhidi ya Yanga ni maandalizi tosha kuelekea katika mchezo...

READ MORE

Simba Yazinasa Siri za Wanigeria

WAMEKWISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabosi wa Simba kuzinasa mkononi siri zote zinazowahusu wapinzani wao, Plateau United ya Nigereia...

READ MORE

Azam vs Yanga… Vita ya Wakubwa, Kaeni Mbali

JIJI la Dar es Salaam, kwa mara nyingine leo Jumatano litakuwa kimya kwa muda kupisha mechi ya wakubwa wawili, Azam...

READ MORE

Sare vs Namungo Fc, Yanga Sc Inawalazimu Kucheza Mechi Mbili Pamoja

KIKOSI cha Yanga kwa sasa kiko katika nafasi ya pili ya Ligi Kuu Bara baada ya mechi 11 za Ligi...

READ MORE

Wanafunzi wa Tanzania Wang’ara Mashindano ya Dunia TEHAMA ya Huawei

Wanafunzi wa Kitanzania kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamefanikiwa kuwa miongoni mwa vinara wa Fainali za Shindano la...

READ MORE

Yanga Yarudi kwa Straika wa Zambia

BAADA ya Yanga kulazimishwa sare ya 1-1 na Namungo, Jumapili iliyopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa...

READ MORE